utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
- Thread starter
- #481
Za mwizi arobaini, ivumayo sana hupasuka. Lets watch an see. Yaliyo gizani mungu atayadhihirisha tu..its a matter of time.
Cdm inajimaliza yenyewe, vijana wake humu wanamshambulia mtu aliyefanyiwa unyama...kwanini tusiamini kuwa ni kweli wao ndio wamehusika....hawana utu wala chembe ya ubinadamu...hivi zitto akisoma comment zao anajiskiaje..ina maana zitto anaipenda sana chadema kuliko mama yake? Hana uchungu na damu yake? Hana akili? Vipi watanzania wa kawaida wanaopita hapa wakiona mvamiwa anatukanwa matusi ya nguoni huku ni mlemavu na ni mzazi wa kiongozi mwandamizi wa chadema...kwa hiyo chadema inajiua yenyewe kwa uroho wa madaraka.full stop.
Mimi binafsi mama zitto sio mamayangu mzazi ila moyo unaniuma sana machoni mwangu nashindwa kustahamili maumivu nikiwa nashuhudia matusi anayomwagiwa mama wa watu kanakamba amewaita hao majambazi wamvamie.
Hivi ni kwanini haifiki sehemu tukatenganisha siasa na uhai wa mtu? Hebu fikiria udhaifu walio nao mama zetu je angedondoka kwa presha akafariki wakati anatishiwa ndio ingesaidia nini chama? Aah jamani wanasiasa wapi twaelekea? Mbona sifa yetu ya ubinadamu twaipoteza?
Huyu ni wazi mtu wa ndani CHADEMA anayejua mengi na hapa anajaribu kupre-empty kama strategia maarufu ya wanapropaganda wa CHADEMA. Huyu anapaswa kutambuliwa na hasa ukichukulia ukweli wa uhusika wa Sagula katika tuhuma mbalimbali zinazoindama CHADEMA. Inawezekana hata akawa mtu aliye karibu na kesi hizi na anajua umuhimu wa Sagula katika haya madudu na jinsi gani connection yake ilivyo na athari kwa wengine wengi!
huyu mama na mwanae wote ni wasanii, mwanae aliandika barua kisha akaipost mtandaoni akadai imevujishwa, huyu mama ni mtu anae struggle na inferiority complex anajifariji na hii michezo ya kijinga kama hiki kioja alichokuja nacho leo ili apate recognition na attention ya wabongo
Chuki, husda na wivu ni vitu vibaya sana kaka yangu Manzese. Tabia kama ya kwako ndio tabia za wanyama si binadamu. Unadai zitto alivujisha barua aliyomkabithi Dr Slaa hand to hand then ilipovuja ndio akaja kutoa maelezo hapa sasa yako wapi maelezo ya mkabithiwa ambaye naye alikuwa usiku wote hakuwa anacheza mbali na ile thread? Kama atadai ni suala la kujadili ndani ya chama wapi tamko la chama?
Usivyo na huruma unamkandia mama wa watu eti ndio ametengeneza hii ishu ambayo inadanger maisha yake so for what?
Barcelona probably=SLAA.
Yupo judge wamajudge wa kweli litabainika tu.
zitto na mama yake wote wananunulika tatizo ni kujua kujua bei zao, ok hiyo barua alimpa hand to hand naomba kujua hiyo barua aliandika akiwa ofisini kwa dr slaa au alikuja nayo kwa dr ikiwa imekwisha andikwa? unajua chain of custody ya hiyo barua? think big bwa mdogo, usichanganyikiwe na MPESA za lumumba
Uko sawa anaweza nunulika sasa mkabidhiwa barua alitoa maelezo gani? Au unadhani mh Zitto yupo ovyo kiasi hicho unachowaza wewe?
dr slaa is smarter and bigger than that mlitegemea ataingia kwenye huo mtego wa kitoto, ndio maana nimekuuliza hiyo barua zito aliandika akiwa ofisini na dr slaa? au aliandika akiwa wapi ? ukipata jibu la maswali haya hapo ndo unaweza kung'amua sanaa ya zitto.
Mama mzazi wa Naibu katibu mkuu wa CHADEMA Zitto Kabwe, amenusurika kutekwa.
Nilikubaliana nao hivyo, bila kuwa na fikra kwamba wanaweza kuwa watu wabaya, hivyo walipokuja nyumbani kwangu baada ya kuruhusiwa na mlinzi niliwakaribisha ndani na kuwaeleza kuwa nitawapatia Sh 20,000 na Sh10,000 waongeze wenyewe.
Lakini niliposimama kuelekea chumbani kuwachukulia kiasi hicho cha fedha, mmoja wao alitoa bastola na kunielekezea kichwani huku akieleza kuwa hawana shida na pesa, bali wanataka laptop yangu, flash na simu yangu ya mkononi kwa sababu zina mambo muhimu, alisema mama Zitto.
Alieleza zaidi kuwa alipowauliza ni kwa nini wanataka vitu vyake hivyo, walieleza kuwa anajua sababu na hata siri yake ya kutumia nafasi yake ya uongozi wa chama cha walemavu kuzunguka nchi nzima akimnadi mwanaye Zitto kwa wana Chadema kuwa anafaa kuwa mwenyekiti wa chama hicho na rais wa Tanzania inafahamika.
Nilijua kuwa ninakufa, sikuona haja ya kubishana nao sana, nikamwita dereva wangu, Mtana, alete simu yangu niliyokuwa nikiichaji chumbani na flash ili niwapatie, wakati akielekea kuvichukua aliwaona walivyokuwa wameniwekea bastola, akakimbia moja kwa moja chumbani akajifungia na kuanza kupiga kelele, wakatoka haraka wakakimbia, alisema.
Alipoulizwa iwapo hawakupata upinzani wowote kutoka kwa mlinzi aliyekuwa getini au majirani walishtushwa na kelele za dereva wake, alisema wakati wanatoka geti lilikuwa wazi na mlinzi alikuwa akiosha gari nje, hivyo ilikuwa rahisi kutoka na gari lao na kutokomea.
Chanzo: Mtanzania
CHURA ANAJUA UMUHIMU WA MAJI BAADA YA KUKAUKA.
Tuishi kwa kupendana maisha ya dunia ni muda mfupi ila ukifa hautokuja rudi tena.
mfano wa hayo unayosema ni wewe, kwa sababu huzungumzi haya kwa nia njema bali kuwakomoa watu ambao hauna itikadi nao sawa, huo ni unyamabinadamu wa leo amevaa roho ya kinyama na kuuvua ubinadamu wake, amekuwa mnyama kuliko mnyama mwenyewe, amekuwa adui wa binadamu mwenzake kuliko hata mnyama wa porini...hatuko katika ulimwengu salama tena na hususan hapa tanzania ambapo tulizoea amani na upendo. tunu hizi zinapotea kidogo kidogo...
Too far mkuu, hao unawazungumza ni viongozi wako, tunahitaji hekima tunapojadili mambo ya viongozi wetu wa nchi au kisiasa, ni lazima tuvumiliane na kuheshimianaZitto na Mama yake ni magaidi wa kisiasa content za kwenye gazeti zinathibitisha kuna mtu anasema kumbe huyo mama zitto ni tapeli lililokubuhu hata kwenye chama cha walemavu kumbe walemavu wenziwe waliandamana kudai fedha alizozitumia kwa manufaa yake mwenyewe ,hakika kwa hili amejidhariisha na kujidharaurisha mr bungeni aka zzzzzzzz
Angalia muda aliojiunga hapa jukwaani na post alizotuma....amejiunga mda mchache baada ya post hii kuwekwa hapa...alipoweka post yake akondoka.. Read btn the line there is an agenda
Huyu ni wazi mtu wa ndani CHADEMA anayejua mengi na hapa anajaribu kupre-empty kama strategia maarufu ya wanapropaganda wa CHADEMA. Huyu anapaswa kutambuliwa na hasa ukichukulia ukweli wa uhusika wa Sagula katika tuhuma mbalimbali zinazoindama CHADEMA. Inawezekana hata akawa mtu aliye karibu na kesi hizi na anajua umuhimu wa Sagula katika haya madudu na jinsi gani connection yake ilivyo na athari kwa wengine wengi!