Wewe na mama yako mumeshindwa dili mapema maneno unayosema hayo yameshasemwa tangu enzi na uedit hii posti yangu manake ndio nimekugundua unafanya mchezo na jamvi hiliMh vipi mkakati gani mwingine umepanga kama mkuu wa chama kumuangamiza Zitto baada ya mbio zenu za sakafuni na dr?
Chamviga,
Tangu nimekuwa mwanachama wa JF au mtandao mwingine wowote daima nimeingia kwa jina langu kamili Dr.W.Slaa. Ni kwa kuwa naamini kutumia jina bandia ni dalili ya uwoga. Yeyote mwenye anaweza kupima ninachoamini kwa kuonyesha identity yangu halisi. Hata hivyo, si vema kuvumilia upotoshwaji na udanganyifu wenye hill mbaya.
Get your life mimi ni mwana JF tumbo wewe ndio unalo kama hushibi unachopewa na wanaokutuma huko huko huko Tunazidi kumfahamu Shida binti salumu kuwa ni tapeli kati ya matapeli ya kisiasa nchini Mama kamuambikiza mwanaWewe mchumia tumbo umeingia shift ya usiku unatumika kwa maslahi ya wachache kuchafua watu, wewe ndio uliyemvamia mama yake zitto, unakuja hapa kujitetea, shetani kabisa. Na ukome ushindwe ulegee
Wewe na mama yako mumeshindwa dili mapema maneno unayosema hayo yameshasemwa tangu enzi na uedit hii posti yangu manake ndio nimekugundua unafanya mchezo na jamvi hili
Endelea kutumika mkuu, najua upo kazini kuharibu mjadala, kazi njema ila damu ya mama zitto unayemlaani itakuandama maisha yako yote..umemkosakosa sasa umeamua kuja kumshambulia jf. Huna aibu mama wa watu mlemavu unamuonea kiasi hiki..laana inakuhusuGet your life mimi ni mwana JF tumbo wewe ndio unalo kama hushibi unachopewa na wanaokutuma huko huko huko Tunazidi kumfahamu Shida binti salumu kuwa ni tapeli kati ya matapeli ya kisiasa nchini Mama kamuambikiza mwana
Endelea kutumika mkuu, najua upo kazini kuharibu mjadala, kazi njema ila damu ya mama zitto unayemlaani itakuandama maisha yako yote..umemkosakosa sasa umeamua kuja kumshambulia jf. Huna aibu mama wa watu mlemavu unamuonea kiasi hiki..laana inakuhusuGet your life mimi ni mwana JF tumbo wewe ndio unalo kama hushibi unachopewa na wanaokutuma huko huko huko Tunazidi kumfahamu Shida binti salumu kuwa ni tapeli kati ya matapeli ya kisiasa nchini Mama kamuambikiza mwana
Endelea kutumika mkuu, najua upo kazini kuharibu mjadala, kazi njema ila damu ya mama zitto unayemlaani itakuandama maisha yako yote..umemkosakosa sasa umeamua kuja kumshambulia jf. Huna aibu mama wa watu mlemavu unamuonea kiasi hiki..laana inakuhusu
Endelea kutumika mkuu, najua upo kazini kuharibu mjadala, kazi njema ila damu ya mama zitto unayemlaani itakuandama maisha yako yote..umemkosakosa sasa umeamua kuja kumshambulia jf. Huna aibu mama wa watu mlemavu unamuonea kiasi hiki..laana inakuhusu
Amekurupushwa kigoma kakimbilia huku jf kuendeleza mashambulizi kwenye familia ya Zitto.
Mkuu lwesye pumzika kama Ben saa8 alivyotulia attempt mbovu za kutoa uhai wa watu utawasakama sana.
Masalia wanaruhusu mama mtu mzima kucheza haya maigizo na vijana wa kiume wasio na adabu??naona baada ya jitihada zote za kumuua kushindikana sasa wanaamua kuivamia familia yake ili apoteze concetration. si unakumbuka ile sumu ya ben saa8 na sakata la kulegeza nuts kwenye taili za gari lake?
Hoja zako ni dhaifu mno, watu wenye akili zao wamekupuuza, nyie ndio mnaoifanya chadema ionekane ni ya wauwaji, watesaji na magaidi. Kama kweli ww ni mwanachadema real huwezi kuwa na ujasiri wa kuandika huu uchafu wako hapa...more than three pages unamshambulia mtu uliyemvamia na kutaka kumdhalilisha.look at you..Mama yake zitto alikuambia ulemavu wake umemfanya asiwe binadamu kazaa watoto wakila aina ulimsaidia yuko kwenye mambo ya siasa ulimsaidia, ni kiongozi wa chama cha walemavu kitaifa unamfanyia majukumu yake, anaakili zake timamu damu yake imemuroga mwenyewe mama tapeli umeona wanaomfahamu toka mtoto wameandika humu huyo mama damu yake itamnyonga mwenyewe tamaa za pesa kama amenunuliwa nyumba dubai aende salama tu asituharibie nchi
Kutokana na habari iliyoandikwa na gazeti la Mtanzania la leo kuhusumajambazi kumvamia Mama Shida Salum na maelezo yake ambayo ameyatoa ni kamaifuatavyo;
i. Lengo kuu ni kuwa Polisi watamkamata Hemed Sabula, ambaye CHADEMA walimtumia kumrekodi Afisa usalama wa Taifa ambaye alikuwaanaanda ushahidi feki wa kumhusisha Lwakatare na ugaidi ……na tayari Polisiwameelekezwa kufanya hivyo kesho .
ii. Usalama wa Taifa , wameamua kulipiza kisasi kwaCHADEMA baada ya kurekodiwa na wanataka kujua walirekodi nini na hichowalichorekodi kipo wapi, hivyo Sabula atateswa sana ili aseme aliwezajekuwarekodi
iii. Zoka Jack , alifanya mawasiliano na ambaowalihusika katika kuandaa na kuandika habari hiyo na mwandishi alikuwaakielekezwa kila kitu, na ndio maana hajawahoji polisi kama suala hilo likokwenye uchungiuzi ama laa , na leo au kesho polisi watatoa tamko kuhusiana nasuala hilo na kuwa wanaendelea na uchunguzi na watamkamata Sabula, swaliatakaloulizwa ni kuwa mbona yeye aliuliza swali kama walivyofanya majambazi haowa kutungwa
iv. Sabula mawasiliano yake ya simu yamefanyiwa kazina baahati mbaya ameonekana kuwa hakumuuliza mama Zitto swali hilo la kuwaanatoa wapi fedha za kuzunguka nchi nzima ,ila alimuuliza juu ya kamaanawafahamu watu hao ama kama alishawahi kuwaona naye akamwambia atarudi kwakebaadae na hakuna ushahidi wa kimawasiliano kama alirejea tena kwake na badalayake akaenda kuongea na vyobo vya habari.
v. Kuhusu kwamba kijana mmoja ni mtu kutoka Tanga ,yupo kijana mmoja anaandaliwa anaitwa Khalid atakamatwa kwa hatua za baadae ,na huyu tayari ameshaandaliwa kimkakati.
Nawashauri CHADEMA wafanye yafuatayo kwa hatua za sasa;
a. Hakikisheni kuwa kuanzia leo mnaweka mawakili wenu kwaajili ya kuhakikisha kuwa Sabula haendi polisi peke yake ili asiteswe
b. Hakikishenikuwa mikanda mliyowarekodi watu wa usalama inawekwa mahali salama kwaniinatafutwa kwa gharama kubwa sana ili iweze kuandaliwa majibu.
c. Wapo watuambao mpaka sasa wanaweza kupoteza kazi kutokana na sakata hili , jiandaenikuwatetea …..
Naishia hapo kwa leo.
This is just sad. Nimemsoma Dr. Slaa na nimemuelewa. Ni muhimu watu wanaposoma habari zinazohusiana na CDM kusoma kwa umakini mno. Ikumbukwe kuwa CDM ni tishio kubwa zaidi kwa watawala kuelekea 2015 kuliko wakati mwingine wowote. NI kwa sababu hiyo hakuna jambo litakaloachwa kufanyika kama kwa kulifanya kutasaidia kuchafua jina la CDM, kuwagonganisha watu na kwa hakika kupunguza imani ya wananchi.
Viongozi na wanachama wa CDM wanapaswa kuelewa hilo na should never take anything for granted.
Cdm inajimaliza yenyewe, vijana wake humu wanamshambulia mtu aliyefanyiwa unyama...kwanini tusiamini kuwa ni kweli wao ndio wamehusika....hawana utu wala chembe ya ubinadamu...hivi zitto akisoma comment zao anajiskiaje..ina maana zitto anaipenda sana chadema kuliko mama yake? Hana uchungu na damu yake? Hana akili? Vipi watanzania wa kawaida wanaopita hapa wakiona mvamiwa anatukanwa matusi ya nguoni huku ni mlemavu na ni mzazi wa kiongozi mwandamizi wa chadema...kwa hiyo chadema inajiua yenyewe kwa uroho wa madaraka.full stop.This is just sad. Nimemsoma Dr. Slaa na nimemuelewa. Ni muhimu watu wanaposoma habari zinazohusiana na CDM kusoma kwa umakini mno. Ikumbukwe kuwa CDM ni tishio kubwa zaidi kwa watawala kuelekea 2015 kuliko wakati mwingine wowote. NI kwa sababu hiyo hakuna jambo litakaloachwa kufanyika kama kwa kulifanya kutasaidia kuchafua jina la CDM, kuwagonganisha watu na kwa hakika kupunguza imani ya wananchi.
Viongozi na wanachama wa CDM wanapaswa kuelewa hilo na should never take anything for granted.
Angalia muda aliojiunga hapa jukwaani na post alizotuma....amejiunga mda mchache baada ya post hii kuwekwa hapa...alipoweka post yake akondoka.. Read btn the line there is an agendaHuyu ni wazi mtu wa ndani CHADEMA anayejua mengi na hapa anajaribu kupre-empty kama strategia maarufu ya wanapropaganda wa CHADEMA. Huyu anapaswa kutambuliwa na hasa ukichukulia ukweli wa uhusika wa Sagula katika tuhuma mbalimbali zinazoindama CHADEMA. Inawezekana hata akawa mtu aliye karibu na kesi hizi na anajua umuhimu wa Sagula katika haya madudu na jinsi gani connection yake ilivyo na athari kwa wengine wengi!