jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 5,834
- 7,746
Kwa kweli inaumiza sana pale Serekali inaponyonya wananchi wake hadi wanafilisika kupitia Kodi lukuki! Wakati Serekali inanenepa, Mwananchi mlipa Kodi anazidi kukonda!!Inaumiza Sana,
Uyo dada Anawakilisha vilio vya wengi
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app