Mama Sinyali Boss la Kariakoo

Ashampoo burning

JF-Expert Member
May 12, 2023
431
1,646
sinyali.jpg

Huyo Mama Sinyali anayetrend ni mama mwenye hela za zake japo zimepungua kidogo. Ni rafiki mkubwa wa Davis Mosha pamoja na mtoto wa Rais Mstaafu awamu ya nne.

Narudia tena huyo mama ni alikuwa na hela sasa hivi zimeshuka kidogo halafu ni mafia, mtoto wa mjini hasa, siwezi kuandika mengi ila Sinyali ni Sinyali kweli hana shida ndogo ndogo.

Siju majumba, magari ya kifahari, huyo kushika milion 300, sijui millioni 600 kwake kawaida tu mbona, nyie endeleni kumwona meme ni li boss hilo jitu.

Kuna kipindi alitukana CCM wadau niishie hapa...akajifanya hawajui, walimshona vizuri akapendeza😄😄😄hana hamu na siasa hadi leo.

Siwezi kuweka full nondo hapa kwa sababu ya heshima ya Sinyali, pia boss wangu Davis Mosha nawakubali.

Sinyali tajiri born town watu wanamuona meme sasa hivi, wangemjua vizuri wangesema hadi wanaume kawapita roho ya ujasiri.

Sinyali we boss kubwa mama la kujiamini, huyo mama ukimzingua jua anakuzengua mara mia 10,000,000 hahhaa.

Wadau bye bwana nawahi nawahi bajaji za Mwenge natoka Posta, baadae ashampoo hapa.
 
Mara mjue mama sinyali,mara sinyali kweli,mara ngoja niishie hapo,mara boss wangu kweli sinyali,ukimzingua anakuzingua mara 100000,mara na mosha rafiki mtoto wa awamu ya 4.
Acha utoto. Sijui sasa umeongea nini wewe kenge?
 
Back
Top Bottom