Watanzania bana.....mtu aksiema ukweli unaambiwa una wivu au dharau......we kokolo ulifundishwa na mwalimu mwenye elimu gani primary? imefika kipindi tuache dharau, mwalimu wa primary ndio waliotujengea msingi wengine hadi tupo hivi tulivyo.
i wounder kwa nini waandishi wetu wa habari huwa akirudi hawamuwahi pale JULIUS NYERERE ....wamuombe awape briefing ya hizo shopping festival anazohudhuriaga!!!!
.
.....umeshamuona Mama salma akihutubia? mbona aibu utatamani uzime tv kwa kuona aibu......
....
Toka lini darasa la saba aliyefundishwa na mtu aliyefeli form four ung'eng'e ukapanda!!!!!!!!!!!!!!.
Apo alipo anakaratasi kibao alizoandaliwa kusoma.
Kwani kujua ung'eng'e ndio inaonesha nini hasa?
Hiyo ni lugha tu kama kimatumbi au kichaga,wacha kasumba wewe.
Mbona raisi wa taifa kubwa kama china kaja juzi na mkewe wamesaidiwa na wakalimani
Kwanini hajamuachia safari mke mwenza?
yeye si jana tu katoka saudia......
Kiasi. Kama ameandikiwa anaweza kusoma, lakini katika mazungumzo ya ana kwa ana lazima awe na mkalimani.Hivi mama wa kwanza ung'eng'e unapanda?
Back to First Lady wetu, mi simjui binafsi but she strikes me as a simple woman, not fit for her status,
She looked most comfortable siku ile alipomchezea ngoma mwanae kimila! Sorry not really top canidate for First Lady in my eyes.
Tatizo anaonekana kum-irritate mume wake na ndo maana kwa miaka yote 10 alipokuwa anajitayarisha kupata urais, JK haku-invest katika mke wake.
we kokolo ulifundishwa na mwalimu mwenye elimu gani primary? imefika kipindi tuache dharau, mwalimu wa primary ndio waliotujengea msingi wengine hadi tupo hivi tulivyo.
Jamani msimsakame mama wa watu!
kweli kabisa bm21, mie mwenyewe nilivyokuwa darasa la kwanza na pili nilifundishwa na hao walimu wa UPE, hata baadaye darasa la 3-7 nikaja kufundishwa na fm 4 waliofeli wale. Mie kila siku huwa nawashukuru walimu wangu japo leo hii mie nimewapita kielimu, maana ndio hao waliojenga good foundation kwa maisha yangu.Brilliant Pretty, hatakama taaruma zao ni ndogo, wameweka foundation zaidi ya 90% ya wanafunzi au wasomi wa Tanzania. So tusiwabeze
Hi Nyani Ngabu!............. I am doing great. How about U?Hi Pretty...how is it going?
Sorry, Pretty, walimu wa primary wengine hawastahili heshima yoyote, ni bumbu, wanachapa watoto hovyo na hawana elimu au hulka ya kufundisha watoto! Sijui kuhusu huyu mama maana wengine tumesoma zamani, lakini naomba nikuulize unajua walimu wa UPE? Kama ungewajua usingekuwa na heshima yoyte kwa walimu wa primary in general! Don't even get me started on that!
Mkuu, umeniacha hoi! Kumbe ndo wale dizaini ya enzi zile za UPE? Ah, wale hata hadhi ya kuwaita walimu walikuwa hawana. isingekuwa kwa baadhi ya walimu wa miaka ya nyuma walioendelea na kazi kwa miaka kadhaa, nadhani kiwango cha elimu kwa wale in their mid to late 30s ingekuwa chini sana. lakini hivi sasa wale w early thirties and late 20s, unaona difference kubwa - English inasumbua, knowledge ni ndogo in general. Product ya UPE!
Hao walimu ndo walichangia uporomokaji wa elimu. Why do we think the dumbest should teach our children because the brightest should teach the children and the dumbest can try to teach university!
Back to First Lady wetu, mi simjui binafsi but she strikes me as a simple woman, not fit for her status, sasa wanamtandao wanajaribu kum-package like a career woman, lakini it will not work, sidhani kama yuko comfortable katika mikutano hii. She looked most comfortable siku ile alipomchezea ngoma mwanae kimila! Sorry not really top canidate for First Lady in my eyes. Tatizo anaonekana kum-irritate mume wake na ndo maana kwa miaka yote 10 alipokuwa anajitayarisha kupata urais, JK haku-invest katika mke wake.
Sorry, Pretty, walimu wa primary wengine hawastahili heshima yoyote, ni bumbu, wanachapa watoto hovyo na hawana elimu au hulka ya kufundisha watoto! Sijui kuhusu huyu mama maana wengine tumesoma zamani, lakini naomba nikuulize unajua walimu wa UPE? Kama ungewajua usingekuwa na heshima yoyte kwa walimu wa primary in general! Don't even get me started on that!