Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

Invicible naomba thread hii igande juu page kwa mwezi mzima mpaka hapo mama huyu atakapo omba msamaha kwa JF tena kwa original ID au kupitia Radio yake au chombo chochote kile cha habari.Hii itaondoa tabia ya baadhi ya viongozi wavivu wa kufikili kukaa na kuwazia kuwa kuna siku watabaatisha kuvifungia vyombo vya habari hata kama ni magazeti kwa kuwa kwa Tanzania JF ni baba lao kwa habari za uwazi.Kama JF ni baba basi tuonyeshe mfano wa kuvijenga vyombo vingine navyo kusimama imara pindi baadhi ya mafisadi wanapotia mikono kuchafua hewa safi inayotoka ndani ya JF.

Pls igandishe pale Juu kwa mwezi kama ishara ya kuwa ni funzo kwa wengine.kuwa wawaheshimu watanzania na mawazo yao na waheshimu mama Tanzania.Ndio maana uwa tunasema mama Tanzania atusemi mama Nigeria au Mama Congo.
 
Wanajua umuhimu wako mama hawawezi kuifungia! Waifunge JF wakuudhi!!! Wakikupoteza wewe mtetea CCM namba 1 kwenye mitandao dunia nzima alafu watoke vp tena while mikutano yao ya hadhara hatuendi walau vijana wanapata nondo zako za ccm hapa penda wasipende!!

Mkuu, scratch where it itches!
 
Kama huyu Mama Mch. Dr. Rwakatale ana divine power ya kuwaombea watu kupata VISA za kwenda Marekani na Ulaya pasipo kufika ubalozini, Kuombea wanaotaka kuolewa wakapata waume, kuwaombea wanaotaka utajiri wakapata utajiri pasi kufanya kazi, kuwaombea wenye UKIMWI wakapona.

Kama kweli ana nguvu hizo zote za ki-Mungu anashindwa nini kuomba JF ikajifunga automatically, because to her it is evil. kwanini aombe msaada wa Serikali wakati uwezo huo anao at her disposal? Am I missing something?!

Ninaomba mwenye email address ya Rwakatale aiwekee hapa JF nimuulize haya maswali.
 
huyu mama LWAKATARE mpumbavu kweli siasa na uchungaji wapi na wapi?:embarassed2:
 
hahahaaaa,,,,,,,,,,,,,, kweli kaishiwa!!!!!!!!! ajiulize kwa nini hana mume kwanza ili hali anafungisha ndoa na kuhamasisha wanandoa wasiachane ili hali kaachika
 
Sheria ije kudhibiti contents zinazoweza kutazamwa na watoto.. lakini pia mambo ya ngono kuonyeshwa hadharanii! Wakati tunasubiri sheria- wenye internet cafes wanaweza kuweka by-laws ambazo zitadhibiti mambo haya .. Nilitonywa na jamaa yangu alieyeenda cafe pale magomeni akapigwa na butwaa aliposikia "makelele" toka computer ya jirani yake aliyekuwa kwenye site za "XXX" jamboambalo llilikosa simamizi wa mwenye cafe!
 
kuna mdau ananiambia hapa maana ya Lwakatare ni Masaburi........
Hebu mwenye kujuwa anihakikishie
 
JF imesajiliwa nje,imesajiliwa wapi? Kunahitajika uwazi zaidi kuhusu origin ya JF.
 
Huyu Mama anawadanganya Watanzania kuwa ni Mchingaji wakati hana ndoa anawafungisha watu ndoa, huyu ni tapeli tu kwa kutumia njia ya kiroho. WanaJf ni vema kufichua utapeli huu wa Mama huyu asiendelee kuwadanganya Watanzania kwa kutumia umaskini wao. Alianzishaga kituo huko Tabata kwa watoto yatima kumbe kwa maslahi binafsi.Kwanini alipofanikisha malengo yake alifunga kituo hicho.Tuendelee kumuumbua tapeli huyu.
 
Chanzo cha mali alizonazo ni dhuluma aliyomfanyia mfanyabiashara mwenye asili ya Rwanda kati ya mwaka 1996-7. Mnywaranda huyo alikuwa amekimbia sekeseke la mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994. Mama Lwakatare alijisogeza akawa mpenzi wake wa kulala nyumba moja akiwa na nia ya kumpumbaza mnyarwanda kwa mapenzi ya utupu wake. Baada ya kuanza kufanya biashara pamoja mara yule Mnyarwanda akamuona Mama Lwakatare anataka kumdhulumu mali zake. Basi kwa vile Mnyarwanda alijua huo mchezo mchafu wa Lwakatarre akajifanya mjinga ila akawa anamsupport kwa kumlipia ada ya masomo binti mkubwa wa Lwakatare aliyekuwa anasoma Marekani. Katika moja ya visit akaweza kutinga mwenyewe huko Marekani na akamkuta binti Lwakatare. Akamsomesha na binti akakubali kumpa utupu wake. Kwa hiyo mama Lwakatare na binti yake walishalambwa na mwanaume mmoja ambaye ni huyo mfanya biashara wa Kinyarwanda. Then binti alivyokuja DSM yule Mnyarwanda akamshawishi afukue documents za mama yake na akiziona zinazohusu biashara na asset zake azichomoe ampe. So binti akazipata na akamrejeshea Mnyarwanda na huo iukawa ndiyo mwisho wa mahusiano kati ya Mnyarwanda na Mama Lwakatare. Munao mwamini kama mchungaji shauri zenu, lakini yule ni mwasherati mkubwa, mwizi na mchawi
 
Kanisa lake ndiyo lifutwe kwani linlemeza watanzania anawambia watapata mali pasi kufanya kazi,yeye ndiye muongo,mama huyu anafungisha ndoa watu na kuandaa marriage revival wakti ya kwake haja weza
 
Back
Top Bottom