Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

what a priest cum legislator, how many teeth does this mama have?

Ndugu,umezunguka sana,short and clear,huyu mama hana lolote zaidi za ulaghai,wizi,unyang'au.Ni mfanyabiashara,mwanasiasa na mchungaji.Jiulize,kama si tamaa za fisi,anawatumikia nani?
 
Wana e JF hembu anzeni kuweka hadharani mambo ya huyu Mama ili ajue sasa kumbe JF ni zaidi ya aijuavyo, hasa mkianza na yale mambo yake anayoyafanya Kinondoni, na yule kijana wake mteul, Coplo wa Polisi.... hembu wekeni wazi ili ajue maana ya mitandao ya kijamii ni nini?
 
Mama mchungaji umejitakia mwenyewe mambo yamekuwa mambo....watu watakuchambua kama samaki, karanga, mpunga, mchele utakula makapi yako mwenyewe... JF ni zaidi ya yote.
 
kazi ipo hivi tatizo la wabunge wetu wanapenda mno utukufu hawa elewi kuwa ni dhambi na upumbavu! na uhakika kama tungekuwa tunaandika habari kama za kumsifia kama vile ni mwanake mwenye pesa,anamiliki kanisa,anafanya biashara nyingi za,mapato yake mengi makubwa hayaelezeki na kueleweka kwa jamii, ni mama bora anayejua vizuri maadili ya ndoa na amekuwa akiwawapa ushauri jinsi ya kuishi vizuri katika ndoa kama yeye anavyoishi kikamilifu,anawajari mno maskini na hayuko tayari maskini apoteze haki yake hasa ardhi na kumlipa kibarua ujira mzuri kwa kazi ndogo anayofanya. serious commited for lord.
nhapa nadhani mtandao wetu hautafungwa nimejaribu kueleza mazuri ya waheshimiwa ili kunusuru mtandao unao wapunguzia stress wadanganyika katika nchi yao ilioyochukuliwa na kuporwa rasrimali zote na watu tulio waajiri wenyewe!
kamwe kwa imani yangu hamtatuzima midomo na bado
 
Mjadala haukuwa na tija kwa taifa. Humu hakunaga mada za aina inayoulizwa na ndugu mbunge(sio mheshimiwa) so sheria inakuja kuregulate nini? kweli pale ni kitalani.
 
Wadau ndani ya JF Good job, keep it up!!!!!

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
OLE WENU MNAO MNYOOSHEA MTUMISHI WA MUNGU KIDOLE... mtu akinitumikia BABA atamheshimu said JESUS. mimi simoooo..
 
Taifa hili linakazi ya ziada kuwabadilisha watu kama Lwakatare ili wapate kuelewa nini maana ya freedom of speech. Inamaana huyu mama uwezo wake wa kufikiri umeishia ktk ku-reason behind JF! mmmh! kazi kwelikweli, mambo mengine hayahitaji pesa za kigeni wala semina elekezi kuyapatia ufumbuzi kimtazamo, huyu mama magamba akubali kachemka
ktk hili. na logout
 
Hivi wanashindwa kuongelea mgomo wa madaktari huyu ni mchungaji wa mbuzi u kondoo? anajipanga kuuliza swali lisilo na tija kwake,eehh akishajua mmliki wake what next?mbona facebook hawaulizi?au kwa vile na yy ni member kule?ni bora hata angeweka maombi maalum kuliombea bunge ili wabunge wenzake magamba wakatae hizo laki 3 wanazopewa kwa kuulia mmiliki wa JF ni nani.
Hilo (Ktk bold grey) haliwezekani kwa sababu yeye pia ni sehemu ya mafisadi. Kwa hakika sielewi kabisa anaitwa mchungaji kwa lipi maana ni mlaghai, mwizi, fisadi na anahangaika na masuala ya dunia zaidi akijitafutia vyeo, utajiri na sifa na ujiko. Nawapa pole waliofanywa mateka kwa hila zake mtumishi wa ibilisi huyu aliyeibukia kuwa tajiri kwa historia chafu ya dhulma ya fedha za NGO ya watoto yatima. Mwenye tumbo lisilotosheka na ngawira anazokusanya kwa hila za ki-ibilisi. Hivi serikali hii huwa inatunza kumbukumbu za wahalifu kweli? Sijui JK alitumia kigezo kipi kumteua mtu wa ovyo namna hii kuwa mbunge, asiyejua kujenga hoja wala kutoa michango ya hoja zenye mantiki kwa jamii. Ni aibu kabisa kwa wana Moro anaowawakilisha kama mbunge wao wa viti maalum toka mkoa huo. Naamini ipo siku u-free masion wake utajidhihirisha hadharani na kuumbuka vilivyo. Kwake mtumwa wa ibilisi huyu, watu wanaokufa kwa kukosa huduma ya madaktari si tatizo, tatizo ni hoja zinazoandikwa JF kuiweka jamii katika mstari! Hili linadokeza umuhimu wa kuwepo kwa kipengele katika Katiba inayokuja cha kumwondoa mbunge anayejidhihirisha kuwa mzigo au fedheha kwa watu anaowawakilisha kama huyu. Shame on her
 
Mgeni Wenu na Wana JF,
Kwa hili Mama amechemsha aka kuchemka, labda alikuwa anataka kusikika na umaarufu wa gafla, faida ni nyingi za mtandao huu,
Sasa baada ya kupata umaarufu ameambulia kushambuliwa na kuanikwa madudu yake, Naibu Waziri amejieleza vizuri
Nawakilisha


Wana JF kutokana na mtandao huu wa kijamii kuibua na kueneza siri za Serikali Wabunge wa CCM wameridhia Mtandao huo ufungwe kama ilivyokuwa Ze Utamu na Mtoa Hoja ni Mchungaji Getrude Lwakatale, Leo pia kapeleka swali lake Bungeni.

Waziri kaitetea JF na kuwashauri wabunge kuwa ni chombo cha habari cha kijamii.

UPDATE:
 
OLE WENU MNAO MNYOOSHEA MTUMISHI WA MUNGU KIDOLE... mtu akinitumikia BABA atamheshimu said JESUS. mimi simoooo..

thundering typhoons......ten thousand BLUE BLISTERING BARNACLES!.............aaarghtchoooo!!
 
Kama unatenda mabaya yako usiandikwe kwani wewe nani bwana? Ukitenda mema utaandikwa kwa mema yako na ukitenda mabaya vile vile. Huyu mama anasahau kuwa kuna uhuru wa mtu kutoa maoni yake? Aende bungeni kutoa hoja za kuendeleza jamii, ana mambo mengi tu ambayo anahitaji kuwafanyia wananchi wake. Aachene kabisa na JAMII FORUM..
 
wakuu nimeshindwa namna ya ku-upload yale mabomu ya Kakobe kuhusu huyu mama.
 
Mwacheni mama wa watu jamani wala hana habari kwamba zaidi ya 2/3 ya kondoo anaowaongoza kwenye kanisa lake BINAFSI, wateja anaowahudumia kwenye MITEGO YAKE YA KIBIASHARA na jopo lote lile pale Bungeni alikoenda kuchongea woooote ni wanachama wa hiari wa JF.

Mwacheni atange na njia huyo, mwee!!


Mama Rwakatare Uje humu JF Tena kwa ID Tutakayoifahamu ni wewe! Uombe Radhi wana JF na WaTg kwa ujumla wao. Kwa kujaribu kuifunga kinywa, SAUTI ya WASIOKUWA NA SAUTI!
Usisubiri kikosi kazi kikufuate, kukuuliza, KUNANI?
La sivyo halitaisha mpaka kieleweke.
 
Au anaogopa JF kuweka data za yule mganga wake wa Congo.....
 
HUYU MAMA NLIAMINI SI MTUMISHI WA MUNGU TENA NI MCHAWI WAKATI WA MSIBA WA DADA YETU KIPENZI REGIA. Kwa leo staki kuongea sana, ila I want to tell u guys LWAKATARE NI MCHAWI.

Mkuu funguka basi. Alikuwa na tunguri msibani nini? Hii inanikumbusha sakata la vijana wawili tulioambiwa kwamba walianguka na nyungo huko kanisani kwake wakiwa katika safari zao za kichawi. Kumbe ilikuwa ni mazingaombwe tuuu. Mbayaaaaaaaaaa!
 
Napendekeza ule uzi jukwaa la ma'celebrities uletwe huku!watu wamwelewe kiundani na kujua mauzauza yake.
 
Back
Top Bottom