Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,158
- 9,168
Kwa bahati mbaya ikifungiwa na sisis tukafungie makanisa na mashule ya huyo mama Lwakatare.
I was also wondering...anachokiogopa nini kuhusu JF? Basi na yeye sio msafi! Kama kweli kazi yake ametumwa na Mungu, anachochukia nini watu kusema ameifilisi Mang'ula mechanical tools? Hayo ndiyo matusi ya nguoni anayoyasema?
Mpaka lini watu wataendelea kujificha kwenye dini wakati ni wafanyabiashara hatari kuliko hata drug dealers? Anataka watu wakae kimya hata kama viwanja vya wazi vinaporwa au mashirika ya umma yanachukuliwa kwa ujanja ujanja? Huu utumishi wa Mungu mwingine ni "very questionable".....just curiosity!!!