Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

Hivi huwa ana ID humu jamvini?

Natamani nijuwe ID yake halafu nimPM kuna kitu nitamwambia.

Hata mwenye kujua anijuze tu!

Eti Mchungaji!
 
Madai aliyotoa Mama yanauzito wake, lkn wasifanye hujuma ilikuifunga JF, Lkn piawabunge wamekuwa wepesi kujadili na kutolea maoni kwa nguvu nyingi masuala yasiyomkwamua MVUJA JASHO ktk lindi la umasikini, mf Mabadiliko ya katiba, mwisho wasiku walicho kifanya hubakikuwa SIFURI.
 
Biashara ya dawa za kulevya imekuwa ngumu nini? Au anataka aanzishe ka JF chake aanze kutoza ushuru. Kweli viti maalum vifutwe
 
akitaka kuifuta jf alipe kwanza umeme,amekalia kuvaa mibatiki yake tu kumbe mwizi wa umeme,anaiibia tanesco,huyu kweli mwehu,mihela yote ile hata umeme unamshinda kulipa,sa anatoza ada kubwa kwenye shule zake kwa ajili gani,au ananunulia nyama misukule yake inayomwabudu
 
Kwanza kuna tetesi kuwa ananunua umeme wa wizi toka TANESCO kupitia shule zake maarufu kama saint MARY'S. BadraMasoud alikuwa akilalamika juzijuzi tu kwamba kuna wezi wa umeme wananunua umeme wa luku kupitia vocha ambazo tanesco hawajazitoa rasmi
 
Biashara ya dawa za kulevya imekuwa ngumu nini? Au anataka aanzishe ka JF chake aanze kutoza ushuru. Huyu ndiyo mbunge hajui hata anatakiwa afanye nini yeye kama mbunge, hajui wajibu wake.

Vitu vinavyoongelewa hapa ni facts, hakuna uzushi wala uwongo.

Kama upo auweke hadharani
 
Kati ya matatizo lukuki yaliyojazana katika jamii huyu mama anaongelea nani mmliki wa JF? huku ni kupoteza muda na rasilimali kwa kuwa na wabunge wa namna hii..mpaka leo sijaelewa kigezo cha kumpa huyu mama huo Ubunge..
Hujaelewa kigezo..?Hujawahi kuona akiwaambia watu wafunge mikanda ili wapande ndege kuelekea ughaibuni na waaumini wanafuata maelekezo hali ya kuwa wapo kwny viti mikocheni b.

Ni janja ya magamba kuwa waumini wa mama Lwakatare wataipgia kura ccm kwakuwa mama mchungaji yupo hko....mbona ni akili rahisi.

Ila mgogoro wa yy na JF utamfikisha pabaya maana huku kuna waaumini wengi kutoka kila kona ya dunia wenye upeo mkubwa zaidi yake.

Hajajua kuwa amewahamasisha waumini wake wajaribu kuitafuta jf ili angalau waone kila anachosema mama yao,.
 
Samahani wachunga kondoo mtanisamehe, siku hizi makanisa mengi siku hizi yamekuwa vichaka vya kuficha wahalifu. Huyu mama ni muhalifu kama wahafu wengine ila sema

kajificha kwenye mwamvuli wa kanisa. Mchungaji hata uombe ukeshe ili jf ifungwe ujue watu watakutana kwenye mitandao mingine ya kijamii kama 'twitter facebook na mingene mingi. Kwa hiyo zile shule zile shule zake za st marry hazina net? Nini maana maendeleo ya tekenohama? Hapo mchungaji kachemka si kidogo. Nampongeza naibu kwa majibu mazuri.

Mchungaji atambue kwamba maendeleo yanakuja na faida na hasara zake. Kuna wanaenda kwenye cafe kusoma sio kuangalia picha za ngono.
 
akitaka kuifuta jf alipe kwanza umeme,amekalia kuvaa mibatiki yake tu kumbe mwizi wa umeme,anaiibia tanesco,huyu kweli mwehu,mihela yote ile hata umeme unamshinda kulipa,sa anatoza ada kubwa kwenye shule zake kwa ajili gani,au ananunulia nyama misukule yake inayomwabudu
ALIPATA KUNENA HAYA...

Sio lazima woote tufuge Ng'ombe ili tupate maziwa...

Kuna wengine tukitaka Maziwa tunanunua tu.

Kauli hiyo ilitolewa na Mama Lwakatare alipokuwa akijihami kuwa si lazima watu woote wawe na wapenzi ili kupata poozeo...kuna wengine wakitaka poozeo wananunua tu.
 
Huyu mchungaji gani mwizi.shule yake inaiba umeme,alafu yeye bado anapata gats ya kusimama mbele ya wahumini kuwahubiria.
 
Kwa hiyo wao hawatakiki ukweli. Waambieni tutaendelea kuusema!
nahisi maamuzi ya kufunga jf hayatakuwa sahihi sana kwa sababu kwa kufanya hivyo kunapunguza fursa kwa wanajamii kutoa mawazo yao juu ya mambo mbalimbali yanayotokea ktk jamii.
 
huyu mama nifisadi kwanza anazulumu walimu wake mishahala kila siku walimu wa shule zake wananungunika zulumaji kubwa hili.
 
'Mchungaji wa Kanisa Mwizi' Du! Kwahiyo hapa atapelekwa polisi kufunguliwa mashitaka akikosa mdhamini anawaishwa Segerea siku14, akipata mdhamini kesi mahakamani.

Mchungaji Mbunge Mwizi
 
kama ana ubavu aje hapa jamvini tudiscuss hiyo issues kwanza anafuga misukule.
 
Back
Top Bottom