'watashindana weeeeee_lakn watashindwa'....anthony lusekelo
Kweeeeetu hakuna kudumaaaa.............
'watashindana weeeeee_lakn watashindwa'....anthony lusekelo
meipenda hii real shusha maombi ya kutisha JF itaacha bila shaka kutoa sire Labda tuu Kama anapoteza imani yake na kuegemea au kutegemea serikali.atufanyie maombi sie wana JF ili tusutoe siri za sirikali
YULE SIO WA BK ni MPOGOLO toka MLUNGU CHIBIDU Mahenge aliwa olewa na Mtu wa BK...viti maalumu,Chama Cha Mapinduzi.Yeye amepewa uhuru wa kuongea kupitia mahubiri yake lakini wenzio wanaotumia fursa ya mitandao anawaonea wivu.Kama vipi arudi kulima ndizi Bukoba
muhongo amesema shule za mama lwakatare wameiba umeme wenye gharama ya tsh, milioni 10,5 na kesi yao iko mahakamani kwa io atakwenda jela..
aibu yetu aibu yake?.....
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA