Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

Ndio maana sijawahi kua na huruma na mtutu yeyote wa ccm wana roho mbaya na chafu sn......
Huyo mama bila kuingia ccm ni mama anayejitambua sn Ila ss ukiingia tu chama hiki cha kishetani basi umekwisha
 
Amkeni Amkeni

Kashanyakuliwa Juu

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20200420-165532.jpg


"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Back
Top Bottom