Au huyu fake pastor ni MS kajificha humu kila mara kutuharibia mada, so tuwe makini na tusiwe tunapoteza muda kwa wale wachangiaji wenye negative kwamambo yaliyo wazi hawa ndo akina Lwakatare, eg swala la kukataa eti hakuna matrecta yanayopigwa na jua pale dodoma jamaa anaamua kubisha, kumbe ni lijimama