Iron Lady
JF-Expert Member
- Mar 4, 2008
- 4,071
- 1,380
Wana JF kutokana na mtandao huu wa kijamii kuibua na kueneza siri za Serikali Wabunge wa CCM wameridhia Mtandao huo ufungwe kama ilivyokuwa Ze Utamu na Mtoa Hoja ni Mchungaji Getrude Lwakatale, Leo pia kapeleka swali lake Bungeni.
Waziri kaitetea JF na kuwashauri wabunge kuwa ni chombo cha habari cha kijamii.
ndio tatizo letu watanzani ukweli hatuupendi wote waichukiayo JF ana sababu au madhambi yake ambayo anajua siku moja yatawekwa hadharani hatuuwezi uwazi , hatuiwezi democracy.
ila huu ni mwanzo tu ukweli utaendelea na hata kama watafanikiwa kutubana huku tutatafuta namna nyingine tu mapinduzi na mabadiliko yataendelea tuuu
hii ni kwake na kila mmoja mwenye mawazo na mipango kama yake.