wakuu,
jf inapata promo bila malipo. Alianza mzee wetu msekwa, sasa waheshimiwa wanatumia milioni 64(za posho kwa siku) kuijadili! Duh
hii inapeleka ujumbe kuwa wanaisoma kwahiyo ni dhima yetu kuiboresha kwani sisi tuna uhakika sasa wanapata maoni yetu kiulaini.
Kinachomsumbua mama mchungaji pamoja na mambo mengine, ile habari iliyoeleza kuwa amemilikishwa kiwanda cha mang'ula, mama akaamua kuchukua mashine na kuzifanya vyuma chakavu.
Wapo waliohoji utaratibu uliotumika kumpa mmililki wa 'academy' uendeshaji wa kiwanda cha spea.
Hili linamsumbua mama wa kiroho maana yanawezaibuka yatakayo compromise integrity yake mbele ya wanakondoo.
Mpeni salaam ametukumbusha na soon atakuwa mada jf in fair and respected way but not in favor