majata
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 431
- 180
Mkuu hii siyo mara ya kwanza hata kwenye kikao cha nec ya magamba pamoja na ripoti ya kina mkama walisema kuwa jamii forum ni mwiba kwao.
My take:
huu ni ufinyu wa mawazo hivi kweli mbunge unayepokea 330,000 kodi za wavuja jasho kwa kupasha moto kiti unasimama unasema upupu kama huu hunakuwa huitendei haki kodi ya mwananchi.yaan kipindi chote ambacho alikuwa nje ya bunge ndo wananchi wamemtuma kuja kuuliza mmiliki wa jf?then what?
Huyu mama ni shetani ambaye anatumia jina la Mungu kama mwamvuli wa kuendeleza uovu wake, ukweli kama yule kahaba anaeitwa babuloni mkuu katika kitabu cha ufunuo ndivyo huyu mama mwisho wake utakavyokuwa, kwa nguvu zake MUNGU wa kweli atapigwa mapigo mabaya kwauovu wake wakuwadhulumu masikini na wenyeshida kwa kuwadanganya anawaombea huku wakiishia kumtolea yeye sadaka aendeleze kujenga mashule yake yanayowatoza masikini makodi makubwa.
ole ole ole wako mama rwakatale siku yako ambayo aliejuu atakuhukumu imefika, tubu sasa achana na mambo ya giza na kudhulumu wenyekutaabika, waonee huruma.
jf ni sehemu muhimu kwa jamii ndio maana jk haifungi mtandao huu pamoja na kwamba ndie mtu anaeandikwa zaidi humu, ushetani wako usiingilie uhuru wetu wa kuongea.
Pole kama umeguswa, ndio utamu wa siasa.