Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

Huu ni uingiliaji wa watu kutoa maoni yao.
Watu makini hukubali changamoto,wasio makini hukandamiza changamoto.
 
Siku zote magamba huwa wanapenda mambo ya kurembe remba kusifiwa weee ,,tumejenga madarasa kumbe wamejenga vibanda ,Tumefungua sekondary nyingi kumbe walimu hakuna siku zote JF inafunua maovu yao.
 
Huyu mama nae anaanza kuntia kichefuchefu, Kama huna lakusema hukai kimnya mpaka useme.
 
Anadhalilisha udaktari wake na kujishushia heshima yake! Kwanza tangia lini siasa na dini zikachanganywa pamoja?!
 
Mama huyu ze comedy kweli. Kanisani kwake ana kipindi cha kuimarisha mahusiano ya wanandoa, bila kujiuliza mwenyewe kwa nini ameshindwa kuiimarisha ya kweke. Maana Mme lwake yeye lwake. Hivyo kuenda bungeni kuchukua posho ya 330,000 kwa hoja ya kutaka bunge lifungie uhuru wa habari, kwake ni sawa tu. Ndio maana leo hii watanzania tunajiuliza kuna umuhimu gani wa kuhudumia wabunge 105 wa viti maalum kwa kodi zetu? Wabunge wenyewe ni wa aina ya Rwekatare,ambaye hajui kanuni wala sheria za bunge wala siasa za nchi yetu yetu zaidi ya kukwapua kila kinachoonekana kimekaa loose.
.
 
Sasa Rev.Rwaka kakosea nini,JF si inatangazwa kuwa ni jukwaa la fikra huru?Rwakatare yuko huru kusema chochote against JF.
 
Ni kweli mama Rwakatare atauliza hilo swali, nimeona kule Tweeter Mh. Zitto akisema hivi....

Zitto Zuberi Kabwe
@zittokabwe
Leo swali namba 52 Bungeni, ndg. Lwakatare anauliza nani mmiliki wa @JamiiForums

Huyu mama kweli kiazi, Hili swali si angeuliza hapa tungemjibu. Ndio ameona ni swali la kualalisha 330,000, Bwana yesu ampe Hekima
 
Kwa nini kitakachofuata kiwe moto zaidi? Ina maana JF ni kwa ajili gani au wengine hatujui? Mimi ninanvyojua JF upo kwa ajili ya ku-interchange views, kutoa mawazo yenye tija kwa maendeleo ya taifa na mambo mengine kama hayo. So naamini uamuzi wowote wenye kutaka kufunga JF utakuwa umefanyiwa tafiti za kutosha na kujiridhisha kuwa mtandao huu hauna tija kwa maslahi ya taifa.
Taifa lipi unaloliongelea wewe? Naheshimu uhuru wako wa kutoa mawazo yako,vinginevyo......
 
Kwa mtu yeyote asiyependa changamoto,kukosolewa na mengine mengi yanayoweza kumfunza au kumuadabisha mtu hata ipende JF hata kidogo. Ni kweli zipo nyzkati inahitsaji moyo kusoma jambo hapa,lakini pamekuwa ni chuo cha mafunzo na elimu dunia kwa wengi nikiwamo na mimi. Nachoweza kuwashahuri viongozi wote wanao pitia hapa wakubali yote yaliyomo na kuwa na roho ya uvumilivu lakini zaidi wawe na roho ya kujifunza zaidi kutokana na wanayoyasoma. Kiongozi mzuri sifa yake kubwa ni kukubali kukosolewa bila kuambiwa mabaya na udhaifu wako huwezi kuwa kiongozi safi na salama,hasa ukizingatia binadamu huwezi kuyajua madhaifu yako. Wana JF songeni mbeli.Ni kweli moto wenu ni mkali mnatupika kwelikweli.
thanks first lady
 
Mbunge wa viti maalum CCM Mchungaji Dr. Getrud Rwakatare leo ameushambulia mtandao wa jamii forum katika kipindi cha maswali na majibu kwa wizara ya sayansi na teknolojia kwa swali alilouliza kuwa: Mtandao wa jamii forum umekuwa ukisambaza taarifa za uwongo, nani mmiliki wa mtandao huu? Ndugai akaliwekea msisitizo: Mh. naibu waziri majibu kikamilifu maana hili ni jambo la msingi...

Kuna mdau aliwahi seam ni vitu maalum NA SI viti maalum! TAFAKARI
 
Huyu mama naye aache milaa, inampeleka pabaya. Mbaya eeeeh
 
Mkuu karibu hapa JF, mimi naitwa only83..JF ni zaidi ya uijuavyo..hata mkuu wa kaya ni member hapa na uwa anafaidika na mawazo ya wanaJF.. wazo la kuwa JF ni ya CDM nadhani ni ule muendelezo wenu wa kutumia kufikiria kwa kutumia makalio...

Kama vijana na wanachama wa magamba hawajui umuhimu wa kutumia mitandao kama sehemu ya kujijenga msisingizie JF kuwa ni ya CDM..Hakuna uhusiano wa JF na CDM isipokuwa member wengi wa JF wanaweza kuwa ni wanachama wa CDM, japo sina uhakika sana na hili.

JF inafanya kazi 90% zaidi ya maafisa usalama wanaosaka habari juu ya mawazo ya wananchi mitaani. Ukiingia JF utajua watanzania wanfikiria nini na wanataka nini na ndiyo maana ukiangalia sera mbalimbali nyingi zimekuwa zikitoka JF. JF inawasaidia akina JK kujua ni jinsi gani mambo yanavyoshughulikiwa katika nchi nyingine na hivyo kujifunza. JF has more positives to the ruling elites than negatives. It is a source of transparency. More people in the Govt nowadays afraid of being exposed on JF for their shady deals than they are afraiding of TAKUKURU or TISS. This helps to self-regulate the corrupts and lazy officials. A big boost to 'Wazalendo'

They will never ever shut JF, they tried it in 2007 (Jambo Forum) by printing it as Terror website and they failed. JF is not who owns it, JF is me and you are taking time to present their views freely without fear of intimidation from the corrupts!. They may not be able to shut our thoughts.
 
"When the devil is bored, he kills flies with his own tail".
Ndie huyu mama, anamekosa la maana la kufanya anataka kuufanya umma zisahau machungu ya shida za nchi na mgomo wa madaktari ujadili JF. Hakukosea yule mwenzao aliyesema kuwa kuna watu wanafikiri kwa masaburi.
JF ni Darasa! JF ni Nyumbani! [Marehemu Regia]
JF ni Bunge la Wananchi!
 
JF imekuwa mwiba kwa watu wengi ambao wanafanya madudu yasiyosemeka, hongera JF members na uongozi wote kwa kazi nzuri. Labda nimkumbushe huyu mwishi wa pesa za masikini.

Hii sio karne ya kubanana, sasa hivi kule twitter kuna kitu kinaendelea ambacho nina uhakika vijana watakiunga mkono, kwahiyo fungeni mitandao yote ndio mtakuwa salama.

Mwizi Getrude lazima ujue kuwa member wa JF wengi wapo serikalini na ni watu wenye heshima zao, hawa ndio wanajua jinsi unavyokwenda kwa waganga Nigeria kupata dawa za kupumbaza watu masikini na kuendelea kuwaibia kupitia sadaka. Watakuandika hapa ukiwachokoza

Lakini vile vile lazima ujue kila Mtanzania ana uhuru wa kutoa mawazo yako leo na kutuita waongo na wahuni, hapa ni bungeni kwetu tuna kanuni zetu ambazo najua umeshazisoma kwani ukiingia mara ya kwanza unaambiwa kusoma hizo kanuni.

Kama tunavyokuvumilia ukisema pumba bungeni kwako au ukilala tuvumilie na sisi maana hapa bungeni kwetu pia tofauti ni kwamba hatutumii kodi za wananchi kuwakandamiza wenyewe

Mwisho nakutakia mchana mwema na itue JF ili upate amani kwani JF ina kila professional ambao wanaweza kukubeba ww na vishule vyako unavyoiba mitihani
 
Kama ameifuatilia hii thread atakuwa anajutia kihere here chake! Am sure atakuwa ameshaambiwa kinachoendelea hapa. Am sorry for her! Masikini mama mchungaji wa watu anadhalilishwa hapa!!!
 
Back
Top Bottom