Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

Kama ameifuatilia hii thread atakuwa anajutia kihere here chake! Am sure atakuwa ameshaambiwa kinachoendelea hapa. Am sorry for her! Masikini mama mchungaji wa watu anadhalilishwa hapa!!!

Teh teh teh teh mama wa Magamba huyo
 
pangeni mikakati ya namna ya kuomboa nchi yenu....
 
Mkuu karibu hapa JF, mimi naitwa only83..JF ni zaidi ya uijuavyo..hata mkuu wa kaya ni member hapa na uwa anafaidika na mawazo ya wanaJF.. wazo la kuwa JF ni ya CDM nadhani ni ule muendelezo wenu wa kutumia kufikiria kwa kutumia makalio...

Kama vijana na wanachama wa magamba hawajui umuhimu wa kutumia mitandao kama sehemu ya kujijenga msisingizie JF kuwa ni ya CDM..Hakuna uhusiano wa JF na CDM isipokuwa member wengi wa JF wanaweza kuwa ni wanachama wa CDM, japo sina uhakika sana na hili.

only 83,huenda upo sahihi kwamba members wengi niwana CDM,mkuu hapa magamba wapo kibao na wanakiponda chama cha magamba,wangeruhusu kuandika majina sahihapa mkuu wa kaya angezirai kama kawaida yake,maana wapo wapo ccm kibao na hawakubaliani na utawala wa huyu mheshimiwa,washukuru mungu uwepo wa jamii forum kwani ndicho kioo chao chakujitolea matongotongo.viva JAMIIFORUM VIVA MEMBARS.
 
kweli ktk katiba mpya inabidi tufute ubunge wa viti maalum, Mbunge unaacha kujadili mgomo wa madaktari unapoteza muda kujadili nani mmiliki wa jf!! Baadae una sign unachukua 330,000 hata humuogopi Mungu?
 
what a priest cum legislator, how many teeth does this mama have?
"utaijua kweli nayo itakuweka huru" ...huyu mama ni mchungaji lakini hataki kujua na kuamini ukweli, ni nchi gani duniani iliwahi kuendelea bila kujua ukweli!!????

Hawa ccm hawana shukurani kabisa, jf inafikisha ukweli tena kwa muda bila ya gharama za tume na posho. Kweli chama hiki knakufa kifo kibaya!

 
kwa taarifa yenu huyu mama ni muuzaji mzuri wa madawa ya kulevya...anashirikana na wakubwa wenu serikalini....anatumia mwamvuli wa dini kuficha maovu yake.....huyu mama hana tofauti na huyo mnayemwita mkuu wa kaya wenu nae mwizi anasafirisha pembe za ndovu sana....ninyi watu amkeni kataeni huuu ujinga..waondoen hawa watu madarakani...... taifa halina mwelekeo
 
Kama ameifuatilia hii thread atakuwa anajutia kihere here chake! Am sure atakuwa ameshaambiwa kinachoendelea hapa. Am sorry for her! Masikini mama mchungaji wa watu anadhalilishwa hapa!!!
sijawahi kumsoma 'rejao' positively kama leo! Big up mkuu

 
Mods naomba mniruhusu nimtukane huyu mama kidogo maana kanikera kweli
 
kweli ktk katiba mpya inabidi tufute ubunge wa viti maalum, Mbunge unaacha kujadili mgomo wa madaktari unapoteza muda kujadili nani mmiliki wa jf!! Baadae una sign unachukua 330,000 hata humuogopi Mungu?


katiba yenu itategemeana na mwongoza nchi mkuu ndugu Rostam aziz....huyu ndiyeanajua katiba mpaya itakuwaje hata rais ajaye..ninyi watu piganieni taifa lenu.....tokeni ndani..waondoeni hawa watu
 
Kachoka kusali mpaka anahisi jf ni kanisa au wateja wamekata mguu nin?
 
miaka 6 nchi haina rais na watanzania wana amani na furaha tele.....can someone wake up this nation?
 
mwizi mkubwa huyu ....ameibia watu wengi sana hasa maeneo akitumia mgonngo wa kanisa.....

Mungu atakuwa na kazi siku ya kiama, mama atakuwa na maovu mengi NA ANATAKA KUFANYA USHETANI ZAIDI NA anaogopa kuanikwa HUO UCHAFU WAKE ,ASHINDWE!
ASHINDWE NA ALEGEE LEGE!
 
hii ndio wastage resources tunazopoteza kwa kuwa na wabunge wa viti maalum!
 
Kama mama mchungaji hana la kuficha anahofia nini JF? Au alikifiri kwa kumbilia CCM basi mapungufu yake yatapotea?
 
Kama ameifuatilia hii thread atakuwa anajutia kihere here chake! Am sure atakuwa ameshaambiwa kinachoendelea hapa. Am sorry for her! Masikini mama mchungaji wa watu anadhalilishwa hapa!!!
mama mchungaji amejidhalilisha mwenyewe
ana akili fupi sana ni bora akaage kimya kama Rostam.
Aliwahi kuulizwa kuhusu posho na jibu lake lilikuwa hivi: Posho ni mambo ya dunia na sipingi uwepo wake kwani pale si kanisani....Ebu jiulizeni kuna uhusiano gani kati ya posho na kanisa lake kama si kutuonea aibu waamini wake?????????
 
Sasa Rev.Rwaka kakosea nini,JF si inatangazwa kuwa ni jukwaa la fikra huru?Rwakatare yuko huru kusema chochote against JF.

sisi ndio hatupo huru?
kapanda bange acha aivune!
ulitegemea avune nini?
 
Back
Top Bottom