Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

Napata taabu sana kuelewa kigezo kilichotumiwa na JK kumteua huyu mama kuwa mbunge! Hana mchango wo wote kwa wanawake, waumini wa dini yo yote wala jamii kwa ujumla. Kwa nini asishauriwe ajiuzulu ubunge na kuendelea na mambo yake?
alikuwa anamwaga sana rushwa kwenye uchaguzi wa UWT viti maalum kabla ya kugombea kipindi hiki kupitia Mkoa wa Morogoro safari ya kwanza 2005 alikuwa wa kwanza wakamkata akiwa Dodoma Hotel alikuwa akigawa 60,000/ ili apigiwe kura ingawa alishinda walimuengua hadi kifo cha Salome Mbatia, nasikia ni Mkaguru aliyeolewa na Mhaya enzi hizo
ngoja tuusubiri uzi wake utakapoletwa hapa tuchangie leo ameniudhi kuhoji namna ya kuifunga JF
 
Kwa nini kitakachofuata kiwe moto zaidi? Ina maana JF ni kwa ajili gani au wengine hatujui? Mimi ninanvyojua JF upo kwa ajili ya ku-interchange views, kutoa mawazo yenye tija kwa maendeleo ya taifa na mambo mengine kama hayo. So naamini uamuzi wowote wenye kutaka kufunga JF utakuwa umefanyiwa tafiti za kutosha na kujiridhisha kuwa mtandao huu hauna tija kwa maslahi ya taifa.

We nae nashindwa kukutofautisha na the DIVORCED JETRUDE.
 
Mkuu karibu hapa JF, mimi naitwa only83..JF ni zaidi ya uijuavyo..hata mkuu wa kaya ni member hapa na uwa anafaidika na mawazo ya wanaJF.. wazo la kuwa JF ni ya CDM nadhani ni ule muendelezo wenu wa kutumia kufikiria kwa kutumia makalio...

Kama vijana na wanachama wa magamba hawajui umuhimu wa kutumia mitandao kama sehemu ya kujijenga msisingizie JF kuwa ni ya CDM..Hakuna uhusiano wa JF na CDM isipokuwa member wengi wa JF wanaweza kuwa ni wanachama wa CDM, japo sina uhakika sana na hili.

lugha za Matusi, kejeri, udhalilishaji vinaweza kuwa vimechangia kuifikisha Jf hapa na kosa ni letu washiriki
 
Wana JF kutokana na mtandao huu wa kijamii kuibua na kueneza siri za Serikali Wabunge wa CCM wameridhia Mtandao huo ufungwe kama ilivyokuwa Ze Utamu na Mtoa Hoja ni Mchungaji Getrude Lwakatale, Leo pia kapeleka swali lake Bungeni.

Waziri kaitetea JF na kuwashauri wabunge kuwa ni chombo cha habari cha kijamii.

Hivi anaweza kuilinganisha JF na hapo kwenye nyekundu?
 
Kuna tetesi huyu mama aliwahi kuingizwa mkenge na mkongomani.
Stori ilikua ivi,,,,,Mkongo alitonywa kuwa huyu mama huwa anawashobekea sana wenye pesa, ikabidi a-act ni muumini mzuri anayetoa fungu la 10. Mkongo akawa anatoa sio chin ya m3 ivi kama fungu la kumi, kwa zaidi ya miezi kadhaa.

Maza akapagawa, ikabidi amwite msaidizi wake ili apeleleze ni nani huyo anayeweza kutoa mafweza hayo, ikibidi aje offisini waonane uso kwa uso.
Zoezi likafanikiwa, mkongoman huyo ofisin. Maza akamuulize huwa anamadili gani anayomwingizia kipato kile?
Mkongo akamwambia mi ni mfanyabiashara wa madini. Maza akazidi kupagawa.
Akamwomba washirikiane, mkongo bila hiyana huku akichekelea kimoyomoyo akamkubalia, maza akaambiwa akachote mpunga wa zaidi ya 500m ili amkabidi akamnunulia madini.
Maza kwa kiwewe akaenda kuchukua na kumkabidhi zigo.

Mkongoman mpaka leo hajulikani alipo.
 
Kwa nini kitakachofuata kiwe moto zaidi? Ina maana JF ni kwa ajili gani au wengine hatujui? Mimi ninanvyojua JF upo kwa ajili ya ku-interchange views, kutoa mawazo yenye tija kwa maendeleo ya taifa na mambo mengine kama hayo. So naamini uamuzi wowote wenye kutaka kufunga JF utakuwa umefanyiwa tafiti za kutosha na kujiridhisha kuwa mtandao huu hauna tija kwa maslahi ya taifa.

Ni kweli lakini pale watakapojaribu kuifunga JF ndipo kitatokea kitu kingine ambacho kitawakosesha usingizi zaidi kumbuka waliifunga ze utamu pamoja na kwamba ilistahili kufungwa lakini taabu na mateso ya kimawazo yameletwa kwa kiwango kikubwa na JF kuliko ze utamu maana JF imekuwa na ubunifu wa hali ya juu katika kukidhi matakwa ya wapenda ukweli wengi na ndiyo maana inawaumiza kichwa na kama wataifunga itakuja nyingine moto zaidi ya hii.
 
hv hili li mama likoje,kwanza ubunge liliupataje.atukome kbs na atuachie jf yetu.Pu***fu zake kbs.Jitu zima ovyoo!
 
Nimeshapata jibu kumbe yule jamaa anayeingiaga hapa kwa jina la Malaria Sugu kumbe ni huyu Mama Lwakatare?
 
huyu lazima ni mmoja wa ma pastor wanaohubiri kibusiness kupata pesa tuuuuuuuuu

anaogopa nini?
 
chi chat tuhamie wapi? kanisani kwake au?
kwanza huyu mama hana madawa kweli?
Wewe umeonyesha njia wewe
Mwanzoni mwa Mwaka 2007 niliishawahi kumsikia Jamaa mmoja, pale Mikocheni
walimtambulisha kama the flying evengelist akiwa madhabahuni akisema kuna
watu wa mataifa wanamuonea wivu sana kwasababu anapiga pamba kuliko
Jakaya na Lowasa na kuonendesha michuma ya ukweli kiasi kwamba wanamtumia
watu wa usalama wa taifa kumchunguza kama anauza madawa ya kulevya.

Kauli hii ni tata na ninadhani niwakati muhafaka kuichunguza Mikocheni B.
 
Huyu mama ana matatizo gani????? Hajui JF inampinga SHETANI...... anayeipinga JF anamsaidia SHETANI kufanya maovu.....
Shindwa Lwakatale na Nguvu zikutoke Ulegee..... Halafu wewe mama ukome kulinganisha JF na ze utamu.... hapa kuna very serious people wanajadili mambo mazito kuhusu nchi....
 
mfungaji ni serikali ikiamua bla bla bla nyingi hazisaidii hata tukitukana matusi 100
 
Back
Top Bottom