Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,985
- 5,707
Tatizo la Wachungaji uchwara.
huyu mama sijui yukoje..yaani anataka upoteze ajira hiv hiv!!!!!
Tatizo la Wachungaji uchwara.
wanasema eti tunaandika matusi, wanataka kujua owner wa jamii forum. swali limeulizwa leo hii bungeni.
JF ni tatizo kubwa.... hahaha watajiju, waziri amesema haijasajiliwa TZ hivyo hawawezi kuwafuatilia... waziri anawashauri wabunge wajiandae vya kutosha wanapoleta madai kuhusu taarifa za mitandao, kwani siku hizi unweza kupata taarifa popote na wakati wowote, aamue ni ipi ataisoma... safi sana WAZIRI
Hata mimi nimeshangaa kumbe huyu mchungaji naye anaijua JF! siajabu ana fake ID na kuchangia labda anachangia humu
huyu mama sijui yukoje..yaani anataka upoteze ajira hiv hiv!!!!!
Ni ile thread ya yeye kuua kiwanda ndio imemwamsha nini???
Mama Mchungaji Wananchi bungeni hamtuzungumzii ndio mana tuko huku kufarijiana. Wewe tenda mema utasifiwa tu.
Na uoga wa nini? Ninyi si ndio wenye V8s na VXs? Sasa unaogopa keyboard?
Tatizo la Wachungaji uchwara.
Kumwambia mtu kuwa ni kilaza ni sehemu ya kukosoa..........critique.
Hata mimi nimeshangaa kumbe huyu mchungaji naye anaijua JF! siajabu ana fake ID na kuchangia labda anachangia humu
Wana JF kutokana na mtandao huu wa kijamii kuibua na kueneza siri za Serikali Wabunge wa CCM wameridhia Mtandao huo ufungwe kama ilivyokuwa Ze Utamu na Mtoa Hoja ni Mchungaji Getrude Lwakatale, Leo pia kapeleka swali lake Bungeni.
Waziri kaitetea JF na kuwashauri wabunge kuwa ni chombo cha habari cha kijamii.