Alfred Daud Pigangoma
JF-Expert Member
- Mar 30, 2009
- 1,833
- 972
Napata taabu sana kuelewa kigezo kilichotumiwa na JK kumteua huyu mama kuwa mbunge! Hana mchango wo wote kwa wanawake, waumini wa dini yo yote wala jamii kwa ujumla. Kwa nini asishauriwe ajiuzulu ubunge na kuendelea na mambo yake?
JK aliwahi kuonjeshwa kitumbua cha mama Rwaka ndo akanogewa na kumteua si unajua HB anavyopenda ***jj***j!