venossah
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 2,766
- 4,067
Peleka mwanao kisw medium,hukulazimishwaEnglish medium schools ni uozo! Ajabu wazazi hawaoni ni janga kwa watoto wao. Funga English medium schools usajili upya. Walimu huko wengi ni uozo mtupu.
Peleka mwanao kisw medium,hukulazimishwaEnglish medium schools ni uozo! Ajabu wazazi hawaoni ni janga kwa watoto wao. Funga English medium schools usajili upya. Walimu huko wengi ni uozo mtupu.
Pole kwa kukosa ajira shule binafsiKumekuwa na ukaguzi wa wafanyakazi hewa na madudu mengine wizara ya elimu. Natoa wito kwa Mama Ndalichako kutuma wakaguzi kwenye shule binafsi kikagua aina ya walimu wanaofundisha huko. Hili litaipunguzia serikali mzigo wa kuajiri walimu wote.
Kwa utafiti mdogo niliofanya wanaofundisha hizi shule hawana sifa za ualimu kama taaluma.
Ubaya wa hili ni kwamba wanaendesha mambo kienyeji na hawana ujuzi juu ya vitu vingi vilivyo ndani ya ualimu. Hata kuandika lesson plan au scheme of work hawawezi.
Pia kwa upande mwingine wanabania ajira kwa walimu wa kweli kutoka vyuo vinavyotambulika.
Ni kama itokee mtu aliyesomea uhasibu akafanye kazi ya lawyer, hapa lazima kuwe na mapungufu katika utendaji.
Nawasilisha, najua hili litafika kwa wahusika.
Ngoja mama apite huko, utaona madudu atakayoibuka nayo halafu mtanielewa.Toka lini Mwanafunzi akafaulu kutokana na Mwalimu kujua kuandika Lesson Plan na Scheme of work???
Swala ni je wanatimiza Majukumu yake??... Nafahamu vijana kadhaa hawana kitu kichwani lkn wana vyeti vya Ualimu.....
Ni udanganyifu tu wa wizi wa mitihani, hakuna cha ziada mi nilifanya huko hivyo nazijua vizuri.Kama hawana sifa mbona ndio wanaongoza kufaulisha?
Ndiyo, ushahidi ninao.Hapo kwenye bold una uhakika ni shule zote za binafsi?, umefanya utafiti wa kutosha kuhakiki hilo tamko lako?
Kuijua kivipi hiyo paiTwambie ni wapi? Kiukweli kama hilo lipo basi mmiliki wa shule hiyo ndo bomu kwa sababu wazazi wanafuata shule yenye walimu wazuri, mwalimu mzuri ni yule anayefundisha mwanafunzi akapata elimu stahiki.
Hapa labda kaongelee kuhusu vibari vya hao walimu kwani najua wengi ni kutoka Kenya na Uganda kwa kigezo kwamba wanajua English.
Jambo jingine .. kuna walimu wengine wana sifa zaidi ya walimu wenyewe kwenye kufundisha masomo fulani. Mfano, ukimchukua mtu aliyesoma Mechanical Engineering ukampatia somo la Physics - hata kama atakuwa hajasomea ualimu - mtu huyu ni mzuri sana kwenye kufundisha kwa sababu anafundisha anachokijua.
Walimu wengi wa sayansi wanafundisha historia ya sayansi, wanafundisha vitu ambavyo hata wao hawajawahi kuvifanyia practical. Ni wazuri kwenye hayo mavitabu yao ya Lesson Plan lakini wanachoki- deliver hawakijui kabusaaa!
Nashukuru sisi tuliosoma zamani kuna vitu tunavielewa lakini wa siku hizi hawajui kabisa. Mfano: niliwauliza walimu wa Math kama wanajua Pai (22/7) au 3.14 - Katika walimu 7 nilokutana nao, ni mmoja tu ndo alisema anajua - ila naye hakufundisha darasani - alijifunza kupitia google ..
Acha uongo, div 4 huwezi kwenda chuo kikuuKuna watu wanajiita walimu ila hawastahili kuitwa hivyo, nani aajiri vyeti wakati jitu hata lugha ya kufundishia haijui? Binafsi nimesikia malalamiko ktk usaili wa walimu sehemu fulani, ni aibu kweli mtu amekuja na GPA ya 4 lakini hajui hata kujieleza, unampeleka darasani wanafunzi wanakugomea kabisa kuwa mwalimu hajui kitu na anawapotezea muda wao tu.
Mnatakiwa muelewe kabisa hakuna mmiliki kichaa aache kuajiri walimu wanaohitaji mishahara ya laki 9 tu kama sifa wanazo ahangaike na watu wanaohitaji million 1.5-2..... Vyuo vyetu vimechangia kuzalisha walimu wa kiwango kidogo sana, unategemea nini kama mtu alipata div 4 form 6 halafu akaenda kusomea ualimu? Mtu ana math E eti akawafundishe watu, hapo lazima wazazi na wanafunzi wakugomee
Mimi ni mwl na nimeshirikiana sana na shule za private.Una mtoto anasoma hizo private schools ama unahadithiwa tu maana private schools zinaajiri waalimu waliobobea ktk taaluma zao na mzazi una uhuru wa kumuona mwalimu wa somo husika na wazazi kama wadau wana uwezo wa kumuwajibisha mwalimu hisika kwa board za shule husika.
Ni vema ukawa na uelewa wa kutosha kuhusu private schools unadhani mishahara yao inalipwa tu kama zikivyo shule za serikali? Jitaidi kuwa na upana wa mawazo mleta mada!!!
Nasikia hicho chombo kipo njiani kuanzishwa.ifikie wakati iwepo bodi ya walimu ili kiwe chombo chenye kutambua na kusimamia vigezo na taaluma za wahusika...
itasaidia kuondoa au kupunguza makanjanja.
Wale sio walimu bali ni wakufunziHivi na wale wanaofundisha chuo wanakuwa wamesomea ualimu?
Wewe ndio hujui na unataka kuendelea kutojua, wale wa equivalent kumbe wana div one? Ushawahi kusikia neno mature entry? Je Ushawahi kusikia kitu kinaitwa foundation course? Kafanye utafiti ndio uje useme huo uongoAcha uongo, div 4 huwezi kwenda chuo kikuu
Ni kweli, lakini pamoja na performance ni vema hao walimu tuakikishe wana sifa zingine zinazoitajika kama mwongozo wa elimu unavyotaka au tubadilishe mwongozo walimu wote nchini wasiajiliwe based on certifications tuwe tunatazama performance. Ni suala la kuamua tu au unaonaje mkuu!
Umeamkia wapi? Kwenye pipa la unafiki na wivu! Kasome kayumba ni size yako.Kumekuwa na ukaguzi wa wafanyakazi hewa na madudu mengine wizara ya elimu. Natoa wito kwa Mama Ndalichako kutuma wakaguzi kwenye shule binafsi kikagua aina ya walimu wanaofundisha huko. Hili litaipunguzia serikali mzigo wa kuajiri walimu wote.
Kwa utafiti mdogo niliofanya wanaofundisha hizi shule hawana sifa za ualimu kama taaluma.
Ubaya wa hili ni kwamba wanaendesha mambo kienyeji na hawana ujuzi juu ya vitu vingi vilivyo ndani ya ualimu. Hata kuandika lesson plan au scheme of work hawawezi.
Pia kwa upande mwingine wanabania ajira kwa walimu wa kweli kutoka vyuo vinavyotambulika.
Ni kama itokee mtu aliyesomea uhasibu akafanye kazi ya lawyer, hapa lazima kuwe na mapungufu katika utendaji.
Nawasilisha, najua hili litafika kwa wahusika.
Kumekuwa na ukaguzi wa wafanyakazi hewa na madudu mengine wizara ya elimu. Natoa wito kwa Mama Ndalichako kutuma wakaguzi kwenye shule binafsi kikagua aina ya walimu wanaofundisha huko. Hili litaipunguzia serikali mzigo wa kuajiri walimu wote.