Acha ubishi wewe shule zote za binafsi walimu wake ni hawana sifa kabisa. Na kufaulu kwa wanafunzi kunatokana na udanganyifu unaofanywa na wamiliki wa hizo shule na si ubora wa walimu.
Huyu ni chuki binafsi au zile za nitoke vipi!! hivi anajua kama shule zina boards ambazo wazazi ni wahusika wakuu na wenye maamuzi? au anajisemea tu. zinafuatiliwa sana hizi ndio maana viwang vya ufaulu viko juu private schools.. what is scheme of work ? za kukaririUna mtoto anasoma hizo private schools ama unahadithiwa tu maana private schools zinaajiri waalimu waliobobea ktk taaluma zao na mzazi una uhuru wa kumuona mwalimu wa somo husika na wazazi kama wadau wana uwezo wa kumuwajibisha mwalimu hisika kwa board za shule husika.
Ni vema ukawa na uelewa wa kutosha kuhusu private schools unadhani mishahara yao inalipwa tu kama zikivyo shule za serikali? Jitaidi kuwa na upana wa mawazo mleta mada!!!
Twambie ni wapi? Kiukweli kama hilo lipo basi mmiliki wa shule hiyo ndo bomu kwa sababu wazazi wanafuata shule yenye walimu wazuri, mwalimu mzuri ni yule anayefundisha mwanafunzi akapata elimu stahiki.Mkuu ninachoongea nakijua na nimekiona.
Mkuu hao wanaosoma degree za elimu unadhani wanasomea content ya kufundisha tu. Kuna other courses they have to undergo ili wawe complete teachers ndio maana kuna option ya kusoma PGDE kwa ambao hawajasoma education. Ualimu una vitu vingi zaidi ya kufundisha.Twambie ni wapi? Kiukweli kama hilo lipo basi mmiliki wa shule hiyo ndo bomu kwa sababu wazazi wanafuata shule yenye walimu wazuri, mwalimu mzuri ni yule anayefundisha mwanafunzi akapata elimu stahiki.
Hapa labda kaongelee kuhusu vibari vya hao walimu kwani najua wengi ni kutoka Kenya na Uganda kwa kigezo kwamba wanajua English.
Jambo jingine .. kuna walimu wengine wana sifa zaidi ya walimu wenyewe kwenye kufundisha masomo fulani. Mfano, ukimchukua mtu aliyesoma Mechanical Engineering ukampatia somo la Physics - hata kama atakuwa hajasomea ualimu - mtu huyu ni mzuri sana kwenye kufundisha kwa sababu anafundisha anachokijua.
Walimu wengi wa sayansi wanafundisha historia ya sayansi, wanafundisha vitu ambavyo hata wao hawajawahi kuvifanyia practical. Ni wazuri kwenye hayo mavitabu yao ya Lesson Plan lakini wanachoki- deliver hawakijui kabusaaa!
Nashukuru sisi tuliosoma zamani kuna vitu tunavielewa lakini wa siku hizi hawajui kabisa. Mfano: niliwauliza walimu wa Math kama wanajua Pai (22/7) au 3.14 - Katika walimu 7 nilokutana nao, ni mmoja tu ndo alisema anajua - ila naye hakufundisha darasani - alijifunza kupitia google ..
Yeye hajasema walioko kule hawaelewi na hawsjasoma, bali kamaanisha kuchanganya fani. Kimsingi ndo maana tuna specialization ama tasnia, kazi apewe aliyeisomea full stop. Ina hasara zake lakini faida ni nyingi zaidi kitaalamu. Na kama wewe si mmoja wao ni vigumu kumwelewa mleta mada.Una mtoto anasoma hizo private schools ama unahadithiwa tu maana private schools zinaajiri waalimu waliobobea ktk taaluma zao na mzazi una uhuru wa kumuona mwalimu wa somo husika na wazazi kama wadau wana uwezo wa kumuwajibisha mwalimu hisika kwa board za shule husika.
Ni vema ukawa na uelewa wa kutosha kuhusu private schools unadhani mishahara yao inalipwa tu kama zikivyo shule za serikali? Jitaidi kuwa na upana wa mawazo mleta mada!!!
Kwenye point ya kwanza sio 100% mkuu me mwenyewe ni mdau wa elimu na hili nimeliona kwenye shule zaidi ya 5 hapa DSM. Huko mikoani sijui hali ipo vipi.Nikiwa mdau wa elimu ninawiwa kuchangia machache:-
1. Shule nyingi za binafsi zina walimu bora na wanaojua wanachokifanya. Maandalizi ya schemes na lesson plans in uhakika maana wenye shule wanamfuatilia mwalimu mwanzo mwisho.
2. Uhaulishaji wa maarifa ni mkubwa kwa kuwa zana na vitabu vinapatikana kwa uhakika. Book student ratio ni 1:1. ( Thanks to us parents who know the importance of text books)
3. Dhana ya kuhonga ili watoto wafaulu haina mashiko yeyote, kwa sababu mbali ya kufaulu PSLE, wanafunzi hao hao ndiyo wanafaulu interview mbali mbali sijui huko nako wamiliki wa shule za English medium wanazunguka private secondary schools zote kuhonga????
Ushauri tuwe na PPP katika elimu na tutaona faida zake. Liberia leo wanafikiria kukabidhi public schools kwa watu binafsi waziendeshe. SISI TUNANG'ANG'ANA KUZIPINGA.
Vipi number 3?Kwenye point ya kwanza sio 100% mkuu me mwenyewe ni mdau wa elimu na hili nimeliona kwenye shule zaidi ya 5 hapa DSM. Huko mikoani sijui hali ipo vipi.
Wewe ni mtu hatari sanaAcha ubishi wewe shule zote za binafsi walimu wake ni hawana sifa kabisa. Na kufaulu kwa wanafunzi kunatokana na udanganyifu unaofanywa na wamiliki wa hizo shule na si ubora wa walimu.