Shidakubwaa yamada nzimaa kwako muajiriwe mliomaliza vyuo..subirini serikalini hizi znastandard zao NA mumi wao sio tu utoke chuo uiingixwe shuleni ile sio mpanda sec AMA kaisikile prim school..ngoja tunalifikisha ombilako tutalifanyia kaziKumekuwa na ukaguzi wa wafanyakazi hewa na madudu mengine wizara ya elimu. Natoa wito kwa Mama Ndalichako kutuma wakaguzi kwenye shule binafsi kikagua aina ya walimu wanaofundisha huko. Hili litaipunguzia serikali mzigo wa kuajiri walimu wote.
Kwa utafiti mdogo niliofanya wanaofundisha hizi shule hawana sifa za ualimu kama taaluma.
Ubaya wa hili ni kwamba wanaendesha mambo kienyeji na hawana ujuzi juu ya vitu vingi vilivyo ndani ya ualimu. Hata kuandika lesson plan au scheme of work hawawezi.
Pia kwa upande mwingine wanabania ajira kwa walimu wa kweli kutoka vyuo vinavyotambulika.
Ni kama itokee mtu aliyesomea uhasibu akafanye kazi ya lawyer, hapa lazima kuwe na mapungufu katika utendaji.
Nawasilisha, najua hili litafika kwa wahusika.
Ungesoma michango ya watu huku ungeelewa ukubwa wa tatizoShidakubwaa yamada nzimaa kwako muajiriwe mliomaliza vyuo..subirini serikalini hizi znastandard zao NA mumi wao sio tu utoke chuo uiingixwe shuleni ile sio mpanda sec AMA kaisikile prim school..ngoja tunalifikisha ombilako tutalifanyia kazi
Kha hawa wasomi wa digitali na mwendo kasi shida maana hata kilichoandikwa hakielewekiShidakubwaa yamada nzimaa kwako muajiriwe mliomaliza vyuo..subirini serikalini hizi znastandard zao NA mumi wao sio tu utoke chuo uiingixwe shuleni ile sio mpanda sec AMA kaisikile prim school..ngoja tunalifikisha ombilako tutalifanyia kazi
Najuaa mpwaaa naitwa pdidy lazima tufurahi kidogo Mpwa cya ukutaUngesoma michango ya watu huku ungeelewa ukubwa wa tatizo