Sikatai kwamba zipo shnule za watu binafsi hasa za makanisa ya Katoliki na Sabato ambazo ni nzuri.Hata hivyo nyingi ya shule za watu binafsi ni za hovyo sana.Shule hizi zina collude na baraza la mitihani ili wanafunzi wao waweze kufaulu sio kwamba kitaaluma wako vizuri.Najua ninacho-ongea kwa kuwa watoto wangu wamesoma kwenye shule za makanisa hayo na pia shule zingine binafsi.Vijana wako vizuri oh body,acha tu.Ila yupo mmoja yuko shule moja pale Morogoro inaitwa YESPA,jamaa hao ni figisu figisu tu.Hata maabara ya kueleweka hawana.Mara mchango ya maabara,mara mchango wa uzio wa shule,utadhani shule ya kwetu.Ada,2,400,000/-.Ina boa sana.