mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,221
- 4,693
Mhh hahahahah naona kuna watu wameguswa kwenye ugali wao.. Ndalichako lazima apite huko muda sio mrefu mjiandae walimu feki.
Hahahahahah mtauwa watu kwa presha wazeeKwa kuwa wanafagia na kusafisha shule za serikali waingie na binafsi kuangalia sifa za walimu ili kujiridhisha na elimu .
Acha jaziba ww jamaa kaongea ukweliUna mtoto anasoma hizo private schools ama unahadithiwa tu maana private schools zinaajiri waalimu waliobobea ktk taaluma zao na mzazi una uhuru wa kumuona mwalimu wa somo husika na wazazi kama wadau wana uwezo wa kumuwajibisha mwalimu hisika kwa board za shule husika.
Ni vema ukawa na uelewa wa kutosha kuhusu private schools unadhani mishahara yao inalipwa tu kama zikivyo shule za serikali? Jitaidi kuwa na upana wa mawazo mleta mada!!!
Uko sahihi sana kuna shule moja inaitwa Aaron Harris secondary school ni ya private iko Pugu kichangani wilaya ya Ilala mwenye shule kawajaza ndugu zake ambao sio walimu. Mmoja kampa cheo cha makamu Mkuu WA shule wakati taaluma yake ni afisa wanyama pori. Kama kweli huu msako utafanyika yatagundulika madudu mengi kushinda walioona kwenye vyuo binafsi. Kuna vishule ambavyo vinaendeshwa kama vijiwe vya kupiga hela tu. Msako ufanyike tuokoe kizazi cha keshoMkuu ninachoongea nakijua na nimekiona.
Hili ni janga ambalo linakula elimu kimya kimyaUko sahihi sana kuna shale moja private uko Pugu kichangani mwenye shule kawajaza ndugu zake ambao so walimu. Mmoja kampa cheo cha makamu Mkuu WA shule wakati taaluma yake ni afisa wanyama pori.Msako ufanyike tuokoe kizazi cha kesho
.
Aaron Harris niAanze na YESPA MOROGORO,sijui nani aliwapa usajili, rushwa tupu.
Basi we mchemfu sana bora umeenda domKwa sasa nishahamia Dodoma mkuu
Sisi tunachosema hapa hao wanaojiita walimu huko private hawana hiyo taaluma hiyo ya ualimu. Wengi wao ni form six waliopata daraja sifuri na wengine wana taaluma nyingine tofauti na ualimuJe, walimu wanaofundisha private walisoma vyuo vyao tofauti na walimu walioko serikalini? Mbona tunajiaibisha kwa kujitoa ufahamu as if we no nothing of what is going on in our country? Kama mtu ana-earn just peanuts, unategemea huyu mtu abaki serikalini au amalize chuoni aende serikalini eti kwa sababu tu serikalini kuna security ya kazi? Enyi Watanzania, nani kawaroga? Wewe hujui kwamba watoto wa hao unaowaita wenye dhamana na mamlaka ya Elimu nchini wanasoma shule za binafsi? Kama hawana Elimu inakuwaje watoto wao wako private schools? Utakubalije mtoto wako umkabidhi kwenye mdomo wa simba kama unadhani hayupo katika mazingira salama?
Mkuu usipinge kila kitu, kuna baadhi ya shule wanachukua form 4&6 liva ili kuwalipa kiasi kidogo cha mshahara, maana wale professionals wanahitaji pesa ambazo wao wanaona ile profit yao inapungua maana private are there for profit. Halafu ukisema sijui wazazi wanajua hili sijui lile wengine wanafoji vyeti. So kama serikali ikifanya ukaguzi itavumbua uozo mwingi sana.Una mtoto anasoma hizo private schools ama unahadithiwa tu maana private schools zinaajiri waalimu waliobobea ktk taaluma zao na mzazi una uhuru wa kumuona mwalimu wa somo husika na wazazi kama wadau wana uwezo wa kumuwajibisha mwalimu hisika kwa board za shule husika.
Ni vema ukawa na uelewa wa kutosha kuhusu private schools unadhani mishahara yao inalipwa tu kama zikivyo shule za serikali? Jitaidi kuwa na upana wa mawazo mleta mada!!!
Kama unaweza mwambie mwenye dhamana na Elimu yetu kwamba huu si wakati wa kuchukua makapi ndio wanapelekwa vyuoni hususani Certificate and Diploma. Kama mtu amefeli unategemea huyo mtu akujengee watoto na watatoka wakiwa katika hali gani?Nadhani kunyoosheana vidole sasa hakutatusaidia sana.Itoshe tu kusema kwamba elimu yetu ina matatizo mengi ikiwa ni pamoja na waalimu wengi wasio na sifa kabisa.Kwa mantiki hiyo serikali inahitaji juhudi za ziada na za makusudi ili kuboresha elimu.
Pia walimu wakiandaliw mazingira na mishahara mizuriKama unaweza mwambie mwenye dhamana na Elimu yetu kwamba huu si wakati wa kuchukua makapi ndio wanapelekwa vyuoni hususani Certificate and Diploma. Kama mtu amefeli unategemea huyo mtu akujengee watoto na watatoka wakiwa katika hali gani?
Mwambie Sizonje kuwa ile inayoitwa cream, ichukuliwe iende isomee Elimu huko vyuoni, nadhani hapo huenda kukawa na changes. Tujifunze kwa mataifa yaliyoendelea
wote wanahusikaHivi kufaulu ama kufeli kwa mtoto nani ndo muhusika mkuu...mwanafunzi, Mwalimu, Vitabu, au mzazi?
kumbuka mwanafunz anahitaj mwongozo kutoka kwa hasa hasa mwalimu ili aweze kufanya vizur katika masomo mzazi kamkabidhi hilo jukumu sasa ukute mwl hafundishi au anachofundisha hakijui vizur sabb hakukielewa vizur akiwa mwanafunz hawez kumfanya mtoto afaulu na vyuoni ninavyojua mm ni mara chache sana kumbadil mtu awe mzuri kama msingi ulikuwa mbaya .kwa mfano kama mtu hukujua kiingereza 0 level nivigumu ukifikq chuo ukajifunza na kuongea vizur hivyo itakuwia vigumu hata kumfundisha mwanafunz kwq lugha hiyo kiufasahaa .ndo maana naungana na mdau hapo juu kuwa serikal inabd upeleke wale vipanga ndo wakasome ualimu na sio walio na ufaulu mdogo kama lengo ni kuinua sector ya elimuSo hakuna haja ya kumnyooshea vidole vyote mwali....ila me naamini kwa kiwango kikubwa mwanafunzi ndo muhusika mkuu....
Mtoa mada uwe specific usijenerolize, mm ninaona karibu kila mwaka private schools ndio wanatoka kifua mbele. Wange kuwa wabovu matokeo yangeonekana mabovu pia! Na kama shule za serikali zina professional teachers basi nyingi ni walimu wenye vyeti na si walimu kwa kuwa ndiyo wanaonekana kuwa na matokeo yanayo kera sana ukilinganisha na private!Kumekuwa na ukaguzi wa wafanyakazi hewa na madudu mengine wizara ya elimu. Natoa wito kwa Mama Ndalichako kutuma wakaguzi kwenye shule binafsi kikagua aina ya walimu wanaofundisha huko. Hili litaipunguzia serikali mzigo wa kuajiri walimu wote.
Kwa utafiti mdogo niliofanya wanaofundisha hizi shule hawana sifa za ualimu kama taaluma.
Ubaya wa hili ni kwamba wanaendesha mambo kienyeji na hawana ujuzi juu ya vitu vingi vilivyo ndani ya ualimu. Hata kuandika lesson plan au scheme of work hawawezi.
Pia kwa upande mwingine wanabania ajira kwa walimu wa kweli kutoka vyuo vinavyotambulika.
Ni kama itokee mtu aliyesomea uhasibu akafanye kazi ya lawyer, hapa lazima kuwe na mapungufu katika utendaji.
Nawasilisha, najua hili litafika kwa wahusika.