Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,991
na kama sio ya kupikwa anayelaani atalaaniwa kwa kipimo kilekile...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hujafa hujaumbika , hivi kama kweli Kabendera ni mtakatisha pesa huyu mama angelia namna hii ? endeleeni na ukatiri wenu lakini mtakuja kulipa tu
Hayo mambo ya laana kuna watu hawayafikirii aise! Muhimu ni kutii mamlaka na kujiepusha kushindania na wenye mamlaka vinginevyo mnyonge utaishia kuumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi tuhuma zako ni tofauti na tuhuma zinazomfikisha mahakamani,infact.Nashindwa kuelewa point yako ni ipi maana ML ndiyo inayomsotesha,nashahuri tu ukusanye taharifa husika na sahihi kisha ujadili nasivyo kujikita katika hisia binafsi au unavyojisikia maana huo ni mwenendo wa wajinga-wapumbavu.Kumtukana Rais nje ya mipaka ya nchi ni kulitukana Taifa, kuungana na wahujumu wa rasilimali zetu (ACACIA) na kudidimiza juhudi za mkuu wa nchi wa kuzipigania ni swala lisovumilika, alivuka mipaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nako wanabambikwa kesi,watawala kuwakomoa watawaliwaYapo zaidi ya haya, maana hata rangi ya ngozi yako tu, inaweza kukupeleka Lupango. Hii ni rangi tu wala si kosa lako. Hivyo msifikiri walioendelea hawana magereza! Vitendo vibaya alivyofanya Kabendera, ksma ni kwenye nchi hizo - utaishia Guantanamo
Mbona kama jibu unalo halafu unauliza tenaameshindanaje na mamlaka ? si muweke wazi tujue au ametoa habari msiozopenda?
Uko usingiziniWacha kamba wewe, wewe unafahamu zaidi ya mwenyewe Kabendera? Serikali ina taasisi ya kuchunguza mambo mengi sana sio mtu moja tu anaamua. Unafahamu jinsi Serikali zinavyofanya kazi zake?
Uko usingizini
Chadema ndo nnSawa foot-soldier wa Chadema, mbona hufuati utashi wa Mbowe?
Hayo mambo ya laana kuna watu hawayafikirii aise! Muhimu ni kutii mamlaka na kujiepusha kushindania na wenye mamlaka vinginevyo mnyonge utaishia kuumia
Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo mnataka waandishi wote Tanzania watoe habari za kuwafurahisha tu na si tofauti na hapo. hivi kweli mbona mnajitengenezea hukumu na laana??? afu mnasema kuna uhuru wa habari
Hayo mambo ya laana kuna watu hawayafikirii aise! Muhimu ni kutii mamlaka na kujiepusha kushindania na wenye mamlaka vinginevyo mnyonge utaishia kuumia
Sent using Jamii Forums mobile app
kosa gani hilo la kunyongwa si uliseme tulijueChanganya dua za wafungwa elfu tano na ushee +ndugu na jamaa za wafungwa,ukipata jumla yake,kaanayo
Kisha laana huyo bibi na kijana wake msaliti wa taifa upime mzani .
Kosa alilofanya huyu dogo kwa taifa hili alistahili kunyongwa,sema Magufuli anahuruma sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna madikteta wengi sana,wengine wanaonyesha wazi hata kwenye hii forum,kila mwanzo una mwisho wakeChanganya dua za wafungwa elfu tano na ushee +ndugu na jamaa za wafungwa,ukipata jumla yake,kaanayo
Kisha laana huyo bibi na kijana wake msaliti wa taifa upime mzani .
Kosa alilofanya huyu dogo kwa taifa hili alistahili kunyongwa,sema Magufuli anahuruma sana
Sent using Jamii Forums mobile app