Mama mzazi? Aibuuuuu!

jama jama ......sasa mnataka huyo jamaa amkomeshe vipi mama yake?

ahame nyumba tu amwache mama na shughuli zake kaa hawezi aibu hiyo.
 
jama jama ......sasa mnataka huyo jamaa amkomeshe vipi mama yake?

ahame nyumba tu amwache mama na shughuli zake kaa hawezi aibu hiyo.

ni aibu sio kidogo....hata hivyo huyu mkaka kamvumilia sana huyo frnd wake.
 
not fair kabisa lakini inabidi wakati mwingine tuwe mbogo namweleza mama kwamba nakuheshimu na wala sitaki kuingilia uhuru wako ila tafuta wazee wenzio ngoma inabaki kwa huyu mshikaji wangu lazima tugombane kwanza

Asigombane na rafiki yake kwani huwez jua huyo mama amemrubuni vp huyo kaka kwa maelezo ya mtoa mada inaonyesha mama mambo yake safi so inawezekana anamkatia mkaka cash ya maana mpaka karubunika hapo inabidi itumike busara zaidi
 
Dearest heshima haijegwi bar ningemwambia"mpendwa mama yangu mzazi maana sina mama mwingine zaidi yako!naomba ww na mshikaji muhame nyumba muende kokote mnakotaka nyie lkn mm kukaa hapa na aibu hii siwezi,wakati huo ningewaitia wazazi wa huyu jamaa ili waje wamtambue mkwe wao mpya.kama hawatanielewa kwa Amani basi kitakachofuata hapo tusiulizane.
bora kukikucha ujue unaemwambia "shikamoo baba" kweli anastahili hiyo heshima...sasa huyu kijana amsalimie kijana mwenzie mambo, za asubuhi au shikamoo baba?...bwana wee huyu mama hapana.
 
huyu kijana alitakiwa aweze kudeal na hili jambo kabla halijafikia hapa lilipo.

hakuona hata dalili? kipofu?
 
Dearest heshima haijegwi bar ningemwambia"mpendwa mama yangu mzazi maana sina mama mwingine zaidi yako!naomba ww na mshikaji muhame nyumba muende kokote mnakotaka nyie lkn mm kukaa hapa na aibu hii siwezi,wakati huo ningewaitia wazazi wa huyu jamaa ili waje wamtambue mkwe wao mpya.kama hawatanielewa kwa Amani basi kitakachofuata hapo tusiulizane.

ugumu hapo ikiwa mama alichuma na marehemu mume wake, kuondoka kwenye hiyo nyumba itakuwa ngumu, bac na kijana aondoke akkanze maisha mapya.
 
Aongee nao wote! then if is not working theeeen! here we comeee!!!!Namtolea uvivu mshikaji tu! :boink::boink::boink:
 
Hayo yanaweza kuwezekana. Ila zaidi kwa wazungu. Mama nae ni mtu na aliikosa kwa muda mrefu, japo chaguo halikuwa sahihi
 
Hamna tatizo - Mama naye ni mwanadamu kama wengine na anayo mahitaji ya mwili - Mwambie huyo ambaye Mama yake analiwa akubali hali halisi and "obladi oblada - life goes on"!

Kwa vile ni mama wa mtu mwingine unasema hivyo, chukulia ni mama yako ndo amefanya hivyo. Acheni ushabiki wa mtandaoni wana jamii. Mapenzi hayana umri lakini angalia huyo kijana ni rafiki yako ana anaanzisha mapenzi na mama yako wa kukuzaa, nafuu awe dada, kwa mama ni kitu kingine BBE.

Ningemweleza huyo rafiki kuwa Sijapendezwa na hiyo tabia yako, nakuheshimu sana ila naona unanivunjia heshima,. Napokuona hapa nyumbani ni kama vile unanipandisha machungu ya kumkumbuka baba mzazi aliyekwisha tangulia mbele ya haki, Hivyo kama huwezi kuacha sawa,lakini fikilia mimi rafiki yako nitembee na mama yako mzazi, ungefurahi au ni mkuki kwa Nguruwe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom