Mama mzazi? Aibuuuuu!

Mwambie awe na adabu kwa baba yake wa kufikia,waswahili wanasema "avaaye khanga ya mama, ndiye baba"inabidi akubali tu,huyo ndiye baba yake!
 
Gaijin....kweli frnd wako atembee na babalo?...hapana kabisa.

lakini ukiangalia pia kwa nyakati hizi, vijana wengi na hata watu wazima pia wanaingia katika mahusiano kwa kufuata mkumbo tu au wakidhani kuwa ndo kwenda na fasheni!lakini msingi kabisa wa upendo unakuwa haupo hapo kwani tamaa ndo inapewa sana kipaumbele na ndo maana ni rahisi kujikuta mnafanya au kushawishika kufanya matendo ya ajabu ajabu tu!
 
not fair kabisa lakini inabidi wakati mwingine tuwe mbogo namweleza mama kwamba nakuheshimu na wala sitaki kuingilia uhuru wako ila tafuta wazee wenzio ngoma inabaki kwa huyu mshikaji wangu lazima tugombane kwanza
 
Na mm namtokea Mama yake Mzazi kwa udi na uvumba... Mpaka kieleweke,jamaa akinijia juu namtolea uvivu...

kama mbwai mbwai tu!nimekupata Tusker Bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidi
 
Naitisha kikao cha ISC kujadili hili jambo.....for sure haikubaliki...
 
not fair kabisa lakini inabidi wakati mwingine tuwe mbogo namweleza mama kwamba nakuheshimu na wala sitaki kuingilia uhuru wako ila tafuta wazee wenzio ngoma inabaki kwa huyu mshikaji wangu lazima tugombane kwanza
Hahaha mi enzi hizo best yangu akitaka kumega sista ilikua balaa sasa hii ya kumega mama dah cjui ingekuwaje!
 
waaacheni wachavushane bana...wote wana akili timamu wanajua wanachofanya...juu ya nini???
 
lawama zangu zote nazishusha kwa mama, cjui kwann wamam wengine wanakosa adabu kiac hiki...kudhalilishana tu.

NY,
Wanawake nao wanfeeling pia, wanahaki ya kuwa nawenza wao. cha kushangaza watu hawashangai sana akina mama wakitoka na dogodog lakini wanaume inakuwa sawa tu hasa wake zao wakiwa wamefariki. Tulitazame kwa upana zaidi. Mapenzi kitu kingine jamani.

Huyo kijana anatakiwa kutambua kuwa mama yake amevumilia sana baada ya baba yao kufariki kwa kuwalea wao, waongee nae kistaarabu tu , na akisistiza wamwache ila kijana wamfuatilie wajue ni penzi kweli au ni fedha, hata hivyo ni ngumu sana kwa kijana kuchomoa kwa mama mzoefu kama huyo.
 
waaacheni wachavushane bana...wote wana akili timamu wanajua wanachofanya...juu ya nini???
Kile kitendo cha wao kuanza hii mambo kwa kujificha ni hali wanayofanya c halali so ni makosa! Jamaa kabla hajawavaa wenyewe aongee na wakubwa zake kama wajomba baba wakubwa au hata mashangazi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom