Mama mzazi? Aibuuuuu!

chloe.obrain

JF-Expert Member
Feb 25, 2010
391
20
habari zenu wadau,
kwanza napenda kusema kile kilichopo kumutima gwange (moyoni mwangu) kwamba nimemmiss saaana Mzee Mwanakijiji pamoja na hadithi zake tamu tamu.

nia na madhumuni ya keweka hii post ni kwamba, nina rafiki yangu mmoja (mkaka) anaishi na mama yake pamoja na wadogo zake maana dingi alitangulia mbele ya haki miaka kadhaa iliyopita(rip).

Katika suala zima la uchumi familia yao iko vizuri sana, sasa kuna siku moja huyu rafiki yangu alikwenda na rafiki yake(mkaka pia) kwao akamtambulisha kwa mama na wadogo zake fresh. Yule kijana(aliyetambuliswa) akawa anakwenda home kwao mshkaji hata kama hayupo mara ghafla yakaanza mahusiano ya siri kati ya yule kijana na mama wa rafiki yake, sasa hivi wamenogewa hakuna siri tena mambo hadharani outing za kufa mtu.

sasa huyu rafiki yangu kanijia ananiambia kuwa anaona aibu sana, maana watu wanasema vibaya mno. anashindwa awaambie (mama yake + mshkaji wake)??? au awaache tu waendelee??
jamani wadau naombeni mnisaidie nimshaurije huyu rafiki yangu.🤔
 
NATURE imechukua mkondo wake, na mwisho wake upo , aibu ya nini hawezi kushindana na feelings za watu
 
Mshikaji anapanda cheo ghafla na kuwa baba sio???
One needs a long chat with a friend of this kind.....
 
awaambie wote kila mtu na wakat wake
aanze na mama ampe counclng na amwambie vile anavyojiskia yeye kutoka na mtu km mtoto wake wa kuzaa
amfate mshkaji amwombe ampe break just break ..sijiskiii vzur wewe kuwa na mamangu
pls achana na mamangu just thk nkiwa namamako we utajifikiriaje?amuombe kiustarabu THATS NAJISKIA KUTUNDIKWA NKIKUONA WEWE NA MAMANGU..km akiona awamuelewi basi hana bud kuepukana nao..ahame haus ili asiwaone au maeneo hayo
asepe mbali na wao BT DAH ISNT GUD.
 
habari zenu wadau,
kwanza napenda kusema kile kilichopo kumutima gwange (moyoni mwangu) kwamba nimemmiss saaana Mzee Mwanakijiji pamoja na hadithi zake tamu tamu.

nia na madhumuni ya keweka hii post ni kwamba, nina rafiki yangu mmoja (mkaka) anaishi na mama yake pamoja na wadogo zake maana dingi alitangulia mbele ya haki miaka kadhaa iliyopita(rip). Katika suala zima la uchumi familia yao iko vizuri sana, sasa kuna siku moja huyu rafiki yangu alikwenda na rafiki yake(mkaka pia) kwao akamtambulisha kwa mama na wadogo zake fresh. Yule kijana(aliyetambuliswa) akawa anakwenda home kwao mshkaji hata kama hayupo mara ghafla yakaanza mahusiano ya siri kati ya yule kijana na mama wa rafiki yake, sasa hivi wamenogewa hakuna siri tena mambo hadharani outing za kufa mtu.
sasa huyu rafiki yangu kanijia ananiambia kuwa anaona aibu sana, maana watu wanasema vibaya mno. anashindwa awaambie (mama yake + mshkaji wake)??? au awaache tu waendelee??
jamani wadau naombeni mnisaidie nimshaurije huyu rafiki yangu.:thinking:

kumbuka lunch tutakuwa wote leo bidada!sawasawa????
 
Pole kwa rafiki yako mama yake kuwa sugar mummy wa rafiki yake. Kwa kweli inaleta kichefuchefu.
 
lawama zangu zote nazishusha kwa mama, cjui kwann wamam wengine wanakosa adabu kiac hiki...kudhalilishana tu.
 
This is way too much naona wameamua kuvunja ukimya na kuamua kuifanya iwe open conduct their is a need for a long chat with such kind of person and i mean both of them, MWISHO WA UBAYA AIBU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom