Mama mzazi? Aibuuuuu!

ugumu hapo ikiwa mama alichuma na marehemu mume wake, kuondoka kwenye hiyo nyumba itakuwa ngumu, bac na kijana aondoke akkanze maisha mapya.

Inaelekea kijana bado kula kulala hawezi kuhama home, na pia hawezi kuml
koromea mama yake- na akisubutu kumuuliza rafiki yake habari zitafika kwa mama, yuko kwenye wakati mgumu sana ushauri wangu ni awe mpole tu; kazi itakuja pale anamkuta mshkaji yupo na mama atamwambia mama shikamoo, mshkaji atampa salamu gani?
 
Kile kitendo cha wao kuanza hii mambo kwa kujificha ni hali wanayofanya c halali so ni makosa! Jamaa kabla hajawavaa wenyewe aongee na wakubwa zake kama wajomba baba wakubwa au hata mashangazi!
Kweli we ni great thinker!. Huo utakuwa mwanzo mzuri kwani atakuwa amewahusisha wadau wa karibu wa familia. Naamini atapata mwelekeo wa ni nini ni sahihi au sio sahihi kufanya.
 
Yule kijana(aliyetambuliswa) akawa anakwenda home kwao mshkaji hata kama hayupo mara ghafla yakaanza mahusiano ya siri kati ya yule kijana na mama wa rafiki yake, sasa hivi wamenogewa hakuna siri tena mambo hadharani outing za kufa mtu.
sasa huyu rafiki yangu kanijia ananiambia kuwa anaona aibu sana, maana watu wanasema vibaya mno. anashindwa awaambie (mama yake + mshkaji wake)???:

Mama Lwakatare hapo angesema tu "Mbayaa"?

Awaache tu, huwa yana mwisho, dunia itawapa somo zuri sana, cha msingi amwambie mazeri kinagaubaga kuwa mali zilizoachwa na marehemu dingi yao (kama zipo) zisitumike kuhalalisha na kuendelea na ufirauni wanaoufanya, nxt step jamaa pia aliweke wazi hilo swala kwa wanafamilia wengine wakubwa kama vile wajomba, mashangazi, mama wakubwa n.k.

Angalizo:
kama jamaa ni kula kulala na anamtegema mazeri kwa kila kitu itakuwa ngumu sana kutekeleza hayo niliyosema (Resource dependence theory) hivyo hana budi kuwa mpole huku akitazama mazeri na mshikaji wakijitafunia vikojoleo vyao.
 
Kama umestaajabu ya Musa, tizama ya Firauni hapa chini:
"You can't help who you fall in love with, it just happens. I fell in love with my sister and I'm not ashamed ... I only feel sorry for my mom and dad, I wish they could be happy for us. We love each other. It's nothing like some old man who tries to seduce his three-year-old, that's evil and disgusting ... Of course we're consenting, that's the most important thing. We're not perverts. What we have is the most beautiful thing in the world." Forbidden love | Life and style | The Guardian
 
:frusty::redfaces::redfaces::mad::angry::angry::angry::frusty:
 
huyu kijana alitakiwa aweze kudeal na hili jambo kabla halijafikia hapa lilipo.

hakuona hata dalili? kipofu?

Hakujua kabisa, kamwe hajawahi kuwaza kwamba rafiki yake anaweza kutoka na mama yake.
Aligundua wakiwa tayari wameanza kuwa wazi kiasi fulani....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom