Mama mkwe wangu ana adabu kupitiliza

Mama mkwe wangu ana adabu kupitiliza

Huyo ndo MWANADAMU!!.
HUYU ANATAKA HILI.
YULE ANATAKA LILE!!

MWANADAMU KIBOKOOOO!!
 
Ndugu yangu aliwahi kulalamika mama Mkwe anaingia mpaka chumbani kwao kupiga stori na bintiye.

Mama anajifunga kanga anajipitisha hovyo hovyo. Hana chembe ya haya kuwa yule ni mume wa mwanae

Ndugu alipochoka akalianzisha valangati kawatolea mbovu mwanae na mama yake, na kushusha kipigo kwa mkewe mbele ya mama mkwe.

Kesho yake mama mkwe aliaga
Huyo mwanaume kiboko sio watu wakusini hao maana wale kama ni rafiki yako akipiga hodi sauti itokako ndiyo anaifuata kama ni chumbani anakuja, kuna kaka walikuwa na mkewe sijui wanafanya nini [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hodi hiyo kapita sebuleni mpaka kwa chumba ikabidi mkaka akimbilie taulo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
si watoto wa mitaani wanakuita baba pia?..mpe heshima zake wacha ujima..
 
acha kuvaa taulo au kaputula na kubak tumbo/kifua wazi unaona kama atakuonea aibu
 
....Mi pia mwanzoni mke wangu alikuwa anapenda kunifanyia hivyo but nikam discourage maana nikawa najiskia vibaya kupiga mipaja yote while others wanahangaika na shingo na vipapatio.

Sent using Jamii Forums mobile app
Raha ni pale daddy amerudi mitungi hawezi kula na asubuhi wote mnatoka watoto shuleni house boy anakula mapaja ya daddy
 
Ladies & gents Salaam,

Nimeoa mwaka wa pili sasa. Changamoto za ugonjwa zimepelekea tukae na mama mkwe nyumbani tumuuguze. Yapata miezi miwili sasa anatazamia afya yake hapa kwetu. Age yake haizidi 50 and I'm early 30s.

Issues:
1. Ananiheshimu imefikia hatua ananiita baba kwa adabu mpaka naogopa.
2. Hawezi kukaa na mimi hata kupiga stori zaidi ya salaam tu. Yaani hata namkuta anaagalia tv nikiingia tuu kutoka job anaingia chumbani mda huo huo.
3. Ikibidi tupishane koridoni huwa anageuza njia kabisa.
4. She keeps telling her daughter chakula lazima nianze kupewa mimi kwanza tena kile kizuri na kingi.
5. Huwa haniangalii usoni kabisa (japo hii inaweza isiwe adabu).
6. Ole mke wangu aniache sebuleni peke yangu lazima amtimue aje aongee na baba.
Kwakweli yako mengi huyu mama anayafanya mpaka nimuone ana adabu iliyopitiliza.
Imefikia kipindi imebidi nibadili lifestyle. No more loud music no more think pombe at home. Halafu sasa mimi ni muongeaji kishenzi so nilixpect mama mkwe akija hadi idadi ya wa kupiganao story itaongezeka.

Japo mi mama bora ila mwenzenu ananikwaza kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahhhh!! dogo mbona hiyo kawaida kabisaaaa!.Yaani hivyo ndo inavyotakiwa kuwa, kinyume na hivyo ujue si maadili ya kiafrika.Yote tisa,kumi ni kwa ndugu zangu Wanyiha kule Mbozi niliishi miaka hiyoooo, Mkurya mimi nilibaki nimetunduwaa na mila zao hawa jamaa.Heshima imezidiiii!! hadi kero,ila yote kwa yote kwa utembezi wangu that was the best experience ever.Dogo huo ndo utamu wa kuoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema mkuu huyo mama mfanyie mpango umrudishe kwake cz inaonyesha hapendi kabisa kukaa kwamkwe wake sema shidah ndo imemfanya awepo hapo. Wenzio hatuja bahatika wakwe km hao asee raha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini hii ni kawaida chakula cha baba kunapakuliwa kwanza hata kama hayupo kinfunkikwa na cling film na kuweka kwenye microwave. Kama menu ni kuku baba anawekewa mapaja

hizo familia za kumwekea baba mapaja ya kuku nahic ni zile za kimaskini au zile ambazo baba ni mtemi, mm naona kama mtu anataka kula mapaja ya kuku na ale, haijalishi ni mtoto mke au baba Sky Eclat
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom