sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,168
Dah, hilo tako kwenye avatar yako ni balaa.Duu asee mama mkwe wako copyright na maza angu....full kusifiwa ukweni hukoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, hilo tako kwenye avatar yako ni balaa.Duu asee mama mkwe wako copyright na maza angu....full kusifiwa ukweni hukoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahaaaaaaa na kweli kabisaWewe ungebadilishana mama mkwe na yule anaetumiwa sms kuulizwa mimba lini...
a anatakiwa Ashu be ili apate nguvu ya kumridhisha mama ili aongeze familia na pia nguvu za kufanya kazi na kuihudumia familaIngawa mm nimfuasi wa fikra za analojia...hili la chakula kwamba baba anatakiwa apate kile kizuri zaidi mfano mapaja ya kuku....hili kidogo naliepuka mara nyingi nimekuwa nikipakuliwa hivyo lakini lazima either nijifanye either tunabadilishana na wife au mara nyingi na watoto wangu
Anajielewa kupita kiasi
Hahaaa. Duu. Kutambika tenaNyinyi kabila gani
Nataka kutambika sasa
Ni kweli lakini kumbuka watoto wanatakiwa kukua na kiakili na kimwili sasa kama mzee kila siku wewe unakula gradeA watoto wanaambulia makinikia..mwisho wa siku IQ zinakuwa duni halafu unalaumu wakati wewe baba mwenyewe umechangia kiasi flani....Bab
a anatakiwa a shine ili apate nguvu ya kumridhisha mama ili aingezee familia na pia nguvu za kufanya kazi na kuihudumia famila
Ha ha ha ha yule aliyemjibu "samahani mama yetu, sikukujibi kwa kuwa nilielewa jibu zuri ni mimba tu kwa mwanao....tunakupenda mama yetu...."Wewe ungebadilishana mama mkwe na yule anaetumiwa sms kuulizwa mimba lini...
Wasukuma hawana adabu yoyote, mama mkwe wa kisukuma ndio vyanzo vya ndoa za kisukuma kuvunjika.hyo ndio adabu ya kiafrica!hata mm bibi yangu alikua hakai sbulen na baba akiwpo!hasa hsa wasukuma ndo wana mila za namna hyo!mie nawaza tu nikizeeka nitaishije kwa 'sanji'wangu!teh teh!maana nitakuwa bibi wa kisasa i thnk!lol!safi sana huyo bibi!
Wasukuma hawana adabu yoyote, mama mkwe wa kisukuma ndio vyanzo vya ndoa za kisukuma kuvunjika.
Hachelewi kumshawishi mwanae kuachana na mme wake ili akapokee mahali na ngwekwe kwingine.
Hovyo kabisa wasukuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hiyo si ni kawaida kwa mama mkwe yeyote? Au ulitaka awe anakuchumu?
Ladies & gents
Salaam. Nimeoa mwska wapili sasa. Changamoto za ugonjwa zimepelekea tukae na mama mkwr nyumbani tumuuguze. Yspata muezi miwili sasa anatazamia afya yake hapa kwetu. Age yake haizidi 50 and I'm early 30s
Issues:
1. Ananiheshimu imefikia hatua ananiita baba kwa adabu mpaka naogopa.
2. Hawezi kukaa na mm hata kupiga stori zaidi ya salaam tu. Yaani hata namkuta anaagalia tv nikiingia tuu kutoka job anaingia chumbani mda huo huo.
3. Ikibidi tupishane koridoni huwa anageuza njia kabisa.
4. She keeps telling her daughter chakula lazima nianze kupew mm kwanza tena kile kizuri na kingi.
5. Huwa haniangalii usoni kabisa (japo hii inaweza isiwe adabu).
6. Ole mke wangu aniache sebuleni peke yangu lazima amtimue aje aongee na baba.
Kwakweli yako mengi huyu mama anayafanya mpka nimuone ana adabu iliyopitiliza.
Imefikia kipindi imebidi nibadili lifestyle. No more loud music no more dtink pombe at home. Halafu sasa mm ni muongeaji kishenzi so nilixpect mama mkwe akija badi idadi ya wakupiganao story itaongezeka.
Japo mi mama bora ila mwenzenu ananikwaza kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afuu we Dogo hiyo pakiti ya sigara uliifikisha kweli? Maana ushaanza mambo ya kikubwa!Dah, hilo tako kwenye avatar yako ni balaa.
HahahahahaWewe ungebadilishana mama mkwe na yule anaetumiwa sms kuulizwa mimba lini...