Mama mkwe wangu ana adabu kupitiliza

Mama mkwe wangu ana adabu kupitiliza

hyo ndio adabu ya kiafrica!hata mm bibi yangu alikua hakai sbulen na baba akiwpo!hasa hsa wasukuma ndo wana mila za namna hyo!mie nawaza tu nikizeeka nitaishije kwa 'sanji'wangu!teh teh!maana nitakuwa bibi wa kisasa i thnk!lol!safi sana huyo bibi!
kwa wakinga hata choo huwezi kutumia choo kimoja na mama mkwe
 
Itakuwa una hela..
Kama hauna hela halafu ukutane na mkwe wa kichaga ungeomba poo..

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] au kwao huyo mkwe majalala vibaya mnoo so mume kidogo afadhali na yy ndo msimamia show zote

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Sasa mm nilishawah kupata demu wa kinyalu. .nilimuacha kwa sababu kipindi chote cha mahusiano yetu..kwanza hujawah kunikosea, Kila kitu utakacho mweleza yy anakubali hata kama ni cha kumuumiza na kumkandamiza, hajawah kunionesha wivu hata nikiwa nimesimama na mwanamke ktk mkao wa kutilia shaka, nilishawah mtengenezea kisa nikampa kichapo cha kushangaza aliniomba msamaha yy na kila wakati ananiuliza kama nimemsamehe kweli..ukimuita wakati wowote anakuja bila kubisha. .hana tofauti na usafir wa [HASHTAG]#uber[/HASHTAG] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukitaka mzigo ndio balaa..muda wowote hata akiwa period anaogopa kakwambia akihofia utakasirika. .mmmh nilipoona hvy nikahisi mwenzangu atakuwa hana moyo bali anapumulia maini. .nikamuacha lakini bado ananiomba msamaha kama kuna kosa alinifanyia kipindi cha mahusiano yety

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshukuru Mungu umempa Mama mkwe Wa ukweli,kwa nyie vijana wa mjini unaona ni jambo la ajabu,lakini ki ukweli Mama Mkwe inabidi awe na heshima kwa Mkwe wake no mila na utamaduni wetu hasa sisi watu wa kanda ya ziwa.

Yup Kanda ya ziwa hasa wahaya. Hata kumwangalia mkweo anatembea ni mwiko. Ndo maana wahaya wale original kama ni mama kamwe hawezi kuishi kwa bintiye aliyeolewa except for very special circumstances
 
Sasa mm nilishawah kupata demu wa kinyalu. .nilimuacha kwa sababu kipindi chote cha mahusiano yetu..kwanza hujawah kunikosea, Kila kitu utakacho mweleza yy anakubali hata kama ni cha kumuumiza na kumkandamiza, hajawah kunionesha wivu hata nikiwa nimesimama na mwanamke ktk mkao wa kutilia shaka, nilishawah mtengenezea kisa nikampa kichapo cha kushangaza aliniomba msamaha yy na kila wakati ananiuliza kama nimemsamehe kweli..ukimuita wakati wowote anakuja bila kubisha. .hana tofauti na usafir wa [HASHTAG]#uber[/HASHTAG] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukitaka mzigo ndio balaa..muda wowote hata akiwa period anaogopa kakwambia akihofia utakasirika. .mmmh nilipoona hvy nikahisi mwenzangu atakuwa hana moyo bali anapumulia maini. .nikamuacha lakini bado ananiomba msamaha kama kuna kosa alinifanyia kipindi cha mahusiano yety

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ww nenda kaoe MMaCHAME uone shughuli yake
 
Huku kwetu ndo kawaida, hukai pamoja na mkwe. Mwanaume au mwanamke anayekaa kujichekesha na wakwe ni wale walioshindikana.
 
Ndugu yangu aliwahi kulalamika mama Mkwe anaingia mpaka chumbani kwao kupiga stori na bintiye.

Mama anajifunga kanga anajipitisha hovyo hovyo. Hana chembe ya haya kuwa yule ni mume wa mwanae

Ndugu alipochoka akalianzisha valangati kawatolea mbovu mwanae na mama yake, na kushusha kipigo kwa mkewe mbele ya mama mkwe.

Kesho yake mama mkwe aliaga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom