Spirit
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 457
- 383
Wewe cheka tuu jiandae na wewe ahahahaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]spirit jamani
Wewe cheka tuu jiandae na wewe ahahahaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]spirit jamani
Lakini hii ni kawaida chakula cha baba kunapakuliwa kwanza hata kama hayupo kinfunkikwa na cling film na kuweka kwenye microwave. Kama menu ni kuku baba anawekewa mapaja
Unanifanya niwaze kukuoa wewe! [emoji76] [emoji76] [emoji76]Lakini hii ni kawaida chakula cha baba kunapakuliwa kwanza hata kama hayupo kinfunkikwa na cling film na kuweka kwenye microwave. Kama menu ni kuku baba anawekewa mapaja
Hiyo ndiyo heshima niliyoizoea mimi.
Na naamini anaona aibu kuwepo kwqko sema ni shida tu zinamfanya awe hapo
Wewe ungebadilishana mama mkwe na yule anaetumiwa sms kuulizwa mimba lini...
Mluguru wa moro. Hali yako ikoje kwani mpka upambane?[emoji121]
MKUU,
NI KABILA GANI HILO?
ILI NIANZE KUPAMBANA NA HALI YANGU SASA HIVI!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji41] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Itakuwa una hela..
Kama hauna hela halafu ukutane na mkwe wa kichaga ungeomba poo..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji121]Mluguru wa moro. Hali yako ikoje kwani mpka upambane?
Kuna wengine hawana adabu kabisa kwa wakweMbona nasikia huwa hawachangii choo inakuwaje avae hivyo, lakini hata wanaume wa kijita hawana adabu kwa wakwe au wazazi wa wake zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo dizaini hizo. Ni mwendo wa mtu na mkwewe kupishana koridoni na mataulo...Huyo mwanaume kiboko sio watu wakusini hao maana wale kama ni rafiki yako akipiga hodi sauti itokako ndiyo anaifuata kama ni chumbani anakuja, kuna kaka walikuwa na mkewe sijui wanafanya nini [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hodi hiyo kapita sebuleni mpaka kwa chumba ikabidi mkaka akimbilie taulo
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaa haaa ka benten!! Yaaani kaserenget boy sio?We jamaa umepata bonge la mkwe.....ni wachache tulio na bahati hiyo...shukuru mungu..Kuna wakwe huwa wanakuja kwako wanakaa hadi unahisi umewaoa wote wawili na kibaya zaidi anakuja kupata ka ben10 hapo hapo mtaani. Ma mkwe unakuta anakata gambe ka pampula.....Brother ishi na Mkeo Vizuri sisi tunaitaga Ngekewa hiyo.