Mama mkwe wangu ana adabu kupitiliza

Mama mkwe wangu ana adabu kupitiliza

Hakika huyo ndio mama mkwe asee shukuru sana.. maana kuna wakwe hawa kizazi cha mkapa yaan wanaboa kinoma full unafiki
 
Mimi naomba kuuliza ; kwani kumheshimu Mtu ni kukaa nae mbali na kuepuka kuongea naye yule unae Mheshimu? Naomba mnisaidie kuelewa Kwenye hili! Nini tofauti ya kumheshimu Mtu na kumwogopa Mtu ?
 
Hapo naona kuna tatizo la ki mapokeo coz mantiki Yake siioni kabisa ! Mathalani kuna baadhi ya familia baba wa familia anaogopeka mpaka basi , yani akiingia nyumbani kila Mtu kimyaaa, waliokuwa wanapiga story zao na kucheka wote wanafyata mikia Kwa kumwogopa baba! Lakini kuna baadhi ya familia baba ni rafiki wa members wote wa familia, Watu wanamfurahia wanakuwa huru kusema na kucheka bila woga na heshima ya baba ikiwa palepele!
 
Mimi mamamkwe wangu wa kipare yuko very social yaani ni kunipigisha story tu, ila ana hela zake. Anapenda sana binti yake anianglaie asinikosee adabu

Mkuu mimi mwenyewe mkwe mpare, yuko poa sana. Kukaa naye na kupiga naye story hata sio tatizo. Yuko social sana.

Lakini hii ni kawaida chakula cha baba kunapakuliwa kwanza hata kama hayupo kinfunkikwa na cling film na kuweka kwenye microwave. Kama menu ni kuku baba anawekewa mapaja

Mimi kwangu mapaja, hips watoto wangu ndo wanaokula, haijalishi hata akija mgeni mapaja ni madogo. Vipapatio wife anapenda vilivyobakia ndo nabugia mimi. Nishazoea kula shingo hata sina tatizo.
 
Ndio maadili ya karibia makabila yote.
Utakuta yeye anateseka kuliko wewe
ila afanyeje afya imemlazimisha,vinginevyo
akipona siku hiyo hiyo ataomba arudi nyumbani.

Ni jambo la kawaida mama mkwe
kukuita baba,sababu wewe ndo
mwenye mji.Cha kufanya
wewe mfanye ajisikie yuko nyumbani
na ikiwezekana ukiona yuposebuleni
anaangalia TV wewe jifanye unapita
tu kwenda chumbani ili na yeye
apate muda wa kuangalia.
 
Na katika hili la menu baba kuwekewa paja na nyama nyingi, wakati nipo mdogo nilikuwa nafanya timing ya kufa mtu. Siku za nyama nilikuwa silali mpaka mdingi arudi, na akirudi tuu lazima mezani tukae wote. Kinachofuata hapo ni 80% ya nyama nitakula mimi. Hahahaah, utoto raha sana.
Mkuu wewe hatari Sana.... Hzo timing nlkuwa nazo pia... Basi bimkubwa anakuwa kanuna kweli.. huku dingi anajitia roho Safi... Hehehehe... Nadhani na mm ntakuwa hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hyo ndio adabu ya kiafrica!hata mm bibi yangu alikua hakai sbulen na baba akiwpo!hasa hsa wasukuma ndo wana mila za namna hyo!mie nawaza tu nikizeeka nitaishije kwa 'sanji'wangu!teh teh!maana nitakuwa bibi wa kisasa i thnk!lol!safi sana huyo bibi!
Mbiziyaza.... Fisimweusi ama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom