Mama mkwe wangu ana adabu kupitiliza

Mama mkwe wangu ana adabu kupitiliza

TAI DUME

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
11,201
Reaction score
30,761
Ladies & gents Salaam,

Nimeoa mwaka wa pili sasa. Changamoto za ugonjwa zimepelekea tukae na mama mkwe nyumbani tumuuguze. Yapata miezi miwili sasa anatazamia afya yake hapa kwetu. Age yake haizidi 50 and I'm early 30s.

Issues:
1. Ananiheshimu imefikia hatua ananiita baba kwa adabu mpaka naogopa.
2. Hawezi kukaa na mimi hata kupiga stori zaidi ya salaam tu. Yaani hata namkuta anaagalia tv nikiingia tuu kutoka job anaingia chumbani mda huo huo.
3. Ikibidi tupishane koridoni huwa anageuza njia kabisa.
4. She keeps telling her daughter chakula lazima nianze kupewa mimi kwanza tena kile kizuri na kingi.
5. Huwa haniangalii usoni kabisa (japo hii inaweza isiwe adabu).
6. Ole mke wangu aniache sebuleni peke yangu lazima amtimue aje aongee na baba.
Kwakweli yako mengi huyu mama anayafanya mpaka nimuone ana adabu iliyopitiliza.
Imefikia kipindi imebidi nibadili lifestyle. No more loud music no more think pombe at home. Halafu sasa mimi ni muongeaji kishenzi so nilixpect mama mkwe akija hadi idadi ya wa kupiganao story itaongezeka.

Japo mi mama bora ila mwenzenu ananikwaza kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ladies & gents
Salaam. Nimeoa mwska wapili sasa. Changamoto za ugonjwa zimepelekea tukae na mama mkwr nyumbani tumuuguze. Yspata muezi miwili sasa anatazamia afya yake hapa kwetu. Age yake haizidi 50 and I'm early 30s
Issues:
1. Ananiheshimu imefikia hatua ananiita baba kwa adabu mpaka naogopa.
2. Hawezi kukaa na mm hata kupiga stori zaidi ya salaam tu. Yaani hata namkuta anaagalia tv nikiingia tuu kutoka job anaingia chumbani mda huo huo.
3. Ikibidi tupishane koridoni huwa anageuza njia kabisa.
4. She keeps telling her daughter chakula lazima nianze kupew mm kwanza tena kile kizuri na kingi.
5. Huwa haniangalii usoni kabisa (japo hii inaweza isiwe adabu).
6. Ole mke wangu aniache sebuleni peke yangu lazima amtimue aje aongee na baba.
Kwakweli yako mengi huyu mama anayafanya mpka nimuone ana adabu iliyopitiliza.
Imefikia kipindi imebidi nibadili lifestyle. No more loud music no more dtink pombe at home. Halafu sasa mm ni muongeaji kishenzi so nilixpect mama mkwe akija badi idadi ya wakupiganao story itaongezeka.
Japo mi mama bora ila mwenzenu ananikwaza kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
daaaa,mliooa mnarahaaa
 
Mama anajielewa sana huyo ndio inavyotakiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hyo ndio adabu ya kiafrica!hata mm bibi yangu alikua hakai sbulen na baba akiwpo!hasa hsa wasukuma ndo wana mila za namna hyo!mie nawaza tu nikizeeka nitaishije kwa 'sanji'wangu!teh teh!maana nitakuwa bibi wa kisasa i thnk!lol!safi sana huyo bibi!
 
kuitwa baba mi kitu cha kawaida tu..heahima hiyo
inavoonesha huyo mama mkwe wako ni mtu flani asie na makuu..mpole..muungwana.mnyenyekevu.
na pia hawezi kutumia umama mkwe kutawala nyumba ya mtu..hapo ni kwako ndo mana hataki kukunyima uhuru wa kujiachia sebuleni.
usikwazike na huyo mama.hana kosa..mzoee tu.
wenzio wanalia huku wakwe wanaingilia ndoa zao.wana visa hadi basi.

mvumilie.
 
Lakini hii ni kawaida chakula cha baba kunapakuliwa kwanza hata kama hayupo kinfunkikwa na cling film na kuweka kwenye microwave. Kama menu ni kuku baba anawekewa mapaja

Ingawa mm nimfuasi wa fikra za analojia...hili la chakula kwamba baba anatakiwa apate kile kizuri zaidi mfano mapaja ya kuku....hili kidogo naliepuka mara nyingi nimekuwa nikipakuliwa hivyo lakini lazima either nijifanye either tunabadilishana na wife au mara nyingi na watoto wangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom