Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,061
Ukikumbuka tukumbushane tu maisha haya ndiyo yametuzunguka, kuna mama alikuwa akienda kwa bintiye anakaa kibarazani huku katizama mlango wa choo na mkwewe akiingia hata ashituki fataki zinapigwa waala kama hayupo kuna siku walitukanywa na mwanaye mama mwenyewe sio mzee ni wakupewa mahitaji nakujipikia lakini hataki jamani kuna wakwe na vimbungawe acha tu mkuu,huo uzi upo hapa,sema siukumbuki vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app