MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,076
- 3,559
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] huna hata shukrani yaani huyo ana mapenzi mpk shetani anaogopaSasa mm nilishawah kupata demu wa kinyalu. .nilimuacha kwa sababu kipindi chote cha mahusiano yetu..kwanza hujawah kunikosea, Kila kitu utakacho mweleza yy anakubali hata kama ni cha kumuumiza na kumkandamiza, hajawah kunionesha wivu hata nikiwa nimesimama na mwanamke ktk mkao wa kutilia shaka, nilishawah mtengenezea kisa nikampa kichapo cha kushangaza aliniomba msamaha yy na kila wakati ananiuliza kama nimemsamehe kweli..ukimuita wakati wowote anakuja bila kubisha. .hana tofauti na usafir wa [HASHTAG]#uber[/HASHTAG] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukitaka mzigo ndio balaa..muda wowote hata akiwa period anaogopa kakwambia akihofia utakasirika. .mmmh nilipoona hvy nikahisi mwenzangu atakuwa hana moyo bali anapumulia maini. .nikamuacha lakini bado ananiomba msamaha kama kuna kosa alinifanyia kipindi cha mahusiano yety
Sent using Jamii Forums mobile app
zaidi ya uijuavyoJF pana sana.
Sasa mm nilishawah kupata demu wa kinyalu. .nilimuacha kwa sababu kipindi chote cha mahusiano yetu..kwanza hujawah kunikosea, Kila kitu utakacho mweleza yy anakubali hata kama ni cha kumuumiza na kumkandamiza, hajawah kunionesha wivu hata nikiwa nimesimama na mwanamke ktk mkao wa kutilia shaka, nilishawah mtengenezea kisa nikampa kichapo cha kushangaza aliniomba msamaha yy na kila wakati ananiuliza kama nimemsamehe kweli..ukimuita wakati wowote anakuja bila kubisha. .hana tofauti na usafir wa [HASHTAG]#uber[/HASHTAG] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukitaka mzigo ndio balaa..muda wowote hata akiwa period anaogopa kakwambia akihofia utakasirika. .mmmh nilipoona hvy nikahisi mwenzangu atakuwa hana moyo bali anapumulia maini. .nikamuacha lakini bado ananiomba msamaha kama kuna kosa alinifanyia kipindi cha mahusiano yety
Sent using Jamii Forums mobile app
chezea bahati tuuYamefanyajee
kwahiyo mbitiyaza ni wanyama flani sio teh teh..
aah wapi! sio wa hatari wala nini huyo nahisi atakua mnyama flani hivi cutie cutie so amazing!!!mnyama hatari tena
aah wapi! sio wa hatari wala nini huyo nahisi atakua mnyama flani hivi cutie cutie so amazing!!!
we jamaa wa ajabu kweli.. anakukwaza na nn sasa.... angekuwa hakueshimu ungekuja lalamika tena apaLadies & gents Salaam,
Nimeoa mwaka wa pili sasa. Changamoto za ugonjwa zimepelekea tukae na mama mkwe nyumbani tumuuguze. Yapata miezi miwili sasa anatazamia afya yake hapa kwetu. Age yake haizidi 50 and I'm early 30s.
Issues:
1. Ananiheshimu imefikia hatua ananiita baba kwa adabu mpaka naogopa.
2. Hawezi kukaa na mimi hata kupiga stori zaidi ya salaam tu. Yaani hata namkuta anaagalia tv nikiingia tuu kutoka job anaingia chumbani mda huo huo.
3. Ikibidi tupishane koridoni huwa anageuza njia kabisa.
4. She keeps telling her daughter chakula lazima nianze kupewa mimi kwanza tena kile kizuri na kingi.
5. Huwa haniangalii usoni kabisa (japo hii inaweza isiwe adabu).
6. Ole mke wangu aniache sebuleni peke yangu lazima amtimue aje aongee na baba.
Kwakweli yako mengi huyu mama anayafanya mpaka nimuone ana adabu iliyopitiliza.
Imefikia kipindi imebidi nibadili lifestyle. No more loud music no more think pombe at home. Halafu sasa mimi ni muongeaji kishenzi so nilixpect mama mkwe akija hadi idadi ya wa kupiganao story itaongezeka.
Japo mi mama bora ila mwenzenu ananikwaza kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
angemfaa huyuWewe ungebadilishana mama mkwe na yule anaetumiwa sms kuulizwa mimba lini...
teh teh teh cutie ni cutie tu akipigwa make ups za kina riri na vikorobwezo vingine halafu a-switch ma-catwalk ufisi wote unapotea waliokimbia wanarudi kwa speed ya concorde.fisi ni mnyama cute?tena fisi mwekundu umewah muona ww!mkulu atakuwa anawafaham!tetetet!
Wachagga wanapenda pesa eeh?Itakuwa una hela..
Kama hauna hela halafu ukutane na mkwe wa kichaga ungeomba poo..
Sent using Jamii Forums mobile app
teh t
o y
teh teh teh cutie ni cutie tu akipigwa make ups za kina riri na vikorobwezo vingine halafu a-switch ma-catwalk ufisi wote unapotea waliokimbia wanarudi kwa speed ya concorde.
Bahati IPI mkuu nianze kuikimbiliachezea bahati tuu