Mama mkwe wangu ana adabu kupitiliza

Mama mkwe wangu ana adabu kupitiliza

Ladies & gents
Salaam. Nimeoa mwska wapili sasa. Changamoto za ugonjwa zimepelekea tukae na mama mkwr nyumbani tumuuguze. Yspata muezi miwili sasa anatazamia afya yake hapa kwetu. Age yake haizidi 50 and I'm early 30s
Issues:
1. Ananiheshimu imefikia hatua ananiita baba kwa adabu mpaka naogopa.
2. Hawezi kukaa na mm hata kupiga stori zaidi ya salaam tu. Yaani hata namkuta anaagalia tv nikiingia tuu kutoka job anaingia chumbani mda huo huo.
3. Ikibidi tupishane koridoni huwa anageuza njia kabisa.
4. She keeps telling her daughter chakula lazima nianze kupew mm kwanza tena kile kizuri na kingi.
5. Huwa haniangalii usoni kabisa (japo hii inaweza isiwe adabu).
6. Ole mke wangu aniache sebuleni peke yangu lazima amtimue aje aongee na baba.
Kwakweli yako mengi huyu mama anayafanya mpka nimuone ana adabu iliyopitiliza.
Imefikia kipindi imebidi nibadili lifestyle. No more loud music no more dtink pombe at home. Halafu sasa mm ni muongeaji kishenzi so nilixpect mama mkwe akija badi idadi ya wakupiganao story itaongezeka.
Japo mi mama bora ila mwenzenu ananikwaza kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mnyamwezi?
 
Sasa haya ni malalamiko au sifa?

Naonakwa jinsi uzi ulivyoupakua, imekuwa kama kwa tabia zake nzuri zinafanya uhisi kama mna tabu vile. Unatafuta hitman aje ashighulikiwe ma mkwe?
 
we umgempata au ungekutana na mama mkwe wangu ungejua thamani ya huyo wako
 
Kaka huku ndani Kuna vituko balaaa, Yan siku hizi naingiaga Mara 2 kwa mwezi Tu jamani,
Maana ukweli huku ndani Ni kidogo sana
Wewe ungebadilishana mama mkwe na yule anaetumiwa sms kuulizwa mimba lini...
 
Ladies & gents Salaam,

Nimeoa mwaka wa pili sasa. Changamoto za ugonjwa zimepelekea tukae na mama mkwe nyumbani tumuuguze. Yapata miezi miwili sasa anatazamia afya yake hapa kwetu. Age yake haizidi 50 and I'm early 30s.

Issues:
1. Ananiheshimu imefikia hatua ananiita baba kwa adabu mpaka naogopa.
2. Hawezi kukaa na mimi hata kupiga stori zaidi ya salaam tu. Yaani hata namkuta anaagalia tv nikiingia tuu kutoka job anaingia chumbani mda huo huo.
3. Ikibidi tupishane koridoni huwa anageuza njia kabisa.
4. She keeps telling her daughter chakula lazima nianze kupewa mimi kwanza tena kile kizuri na kingi.
5. Huwa haniangalii usoni kabisa (japo hii inaweza isiwe adabu).
6. Ole mke wangu aniache sebuleni peke yangu lazima amtimue aje aongee na baba.
Kwakweli yako mengi huyu mama anayafanya mpaka nimuone ana adabu iliyopitiliza.
Imefikia kipindi imebidi nibadili lifestyle. No more loud music no more think pombe at home. Halafu sasa mimi ni muongeaji kishenzi so nilixpect mama mkwe akija hadi idadi ya wa kupiganao story itaongezeka.

Japo mi mama bora ila mwenzenu ananikwaza kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
mimi hiyo ipo kwa mke wangu, akipakua chakula anaweza kunipa mimi chakula kizuri zaidi, nyama nono nono zaidi au chochote kizuri zaidi kuliko hata watoto au wadogo zake. hata yeye anaweza asile vizuri ila mimi nile vizuri. kuhusu utoaji nikitaka kumpa mdogo wake kitu au hata mama yake yeye huwa ni wa kwanza kupinga na yuko serious. nilishakaa na wadogo zake mara kadhaa, ninawapenda sana kwasababu walinilelea watoto wangu, lakini mimi ndio nawapenda na kuwajali wadogo zake kuliko yeye. ananipenda hadi naogopa. ananijaliiii mno.

unaweza ukawa unahangaika kumpa mdogo wake hela au kitu chochote kwa siri wakati yeye hayupo kwasababu akiwepo mdogo wake hata pata. mwisho nilikuja kujifunza kuwa kwenye familia yao wamezaliwa wakiwa na mashindano mno, sio kwamba wanachukiana lakini wana compete in every thing.
 
Ndio ilivyo mkuu,hapo wife anatakiwa ajifunze sana,na pia umenikumbusha kitu niliambiwa na mama yng zaman kwamba ukitaka kuoa sehem angalia wazaz wake wanaishije,na ukitaka mwanamke mzur ambae hata kuchosha oa mwanamke mwenye kariba na mama yko yaaan anaefanana kitabia na mama yako.
 
huyo atakua mnyamwezi kama marehemu bibi yangu ndo zilikua zake na mzee, aise mimi mama mkwe wangu imefikia hatua ya kunitukana tena ya nguoni na vitisho yani kama mke wapili ndo tulipo fikia mwanzo tulikua wachizi ila asaivi hakuna adabu na nilicho mfanyia hata asubutu kupiga simu anajua alicho fanya sio.
 
Ndio ilivyo mkuu,hapo wife anatakiwa ajifunze sana,na pia umenikumbusha kitu niliambiwa na mama yng zaman kwamba ukitaka kuoa sehem angalia wazaz wake wanaishije,na ukitaka mwanamke mzur ambae hata kuchosha oa mwanamke mwenye kariba na mama yko yaaan anaefanana kitabia na mama yako.
dah nimebugi mkuu, yeye wife single parent basi ndo maana ana nipeleka ila mwanamke akiwa na baba na mama ni ngumu kuziingua maana wababa wanakua wakaksi
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] au kwao huyo mkwe majalala vibaya mnoo so mume kidogo afadhali na yy ndo msimamia show zote

sent from motorola bapa and nokia jeneza
Lazima, tena hata binti akinyanyaswa na Mume lazima aambiwe avumilieee kwa hali hiyo[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom