Mama mkwe anataka nimuuzie samani za ndani

Mpe bure watakuwa wanaenda kuvitumia watoto wako wakienda kwake
 
Habari Wapendwa

Mi na familia yangu tunahamia mkoa mwingine..Nilipoenda kutoa taarifa za hizi pilika pilika za kuhama kwa wakwe,Mama mkwe akaniuliza juu ya vitu vyangu vya ndani..Nikamwambia vingi ntaviuza...Ntaondoka tu na vitu vidogo vidogo..

Juzi kanipigia simu akaniambia anaomba nimuuzie baadhi ya vitu..Sikumpa jibu la moja kwa moja nikamyumbisha kidogo then nikamwambia ntakutafuta tuongee..

Nimemshirikisha wife akaniambia tuviuze kwa mtu mwingine Kwa madai kuwa mama yake Ataleta longolongo tu na kujuana kwingi..

Wakuu embu niongezeeni busara juu ya hili,Nahisi zangu hazitoshi...Nifanyaje??
Kando ya hizo longolongo zake,Kumuuzia Mama mkwe hivi vitu ni sawa.???
Ningeweza kumpa bure sema hii pesa nahiitaji sana iweze kutubusti huko tunakoenda.. vile hali ya maisha ni tight kwa sasa
Umepata mke aisee, hongera kwa kupata mke mwema
 
Hahaha! Aisee umeshawahi kukopesha Ukweni?

kama uliwahi kukopesha alafu ukalipwa "UKWENI WEKA MBALI KAMA BASHITE"
 
Mamam mkwe aliyekuzalia na kukulelea na kukutunzia huo utamu unaoufaidi sasa, ana thamani kubwa kuliko hata huo utamu wenyewe... Mpe tu ivyo vitu kwan shi ngapi bhana? Kama kaomba umuuzie am sure pesa atakuwa nayo...
 
Hapana usimuuzie ni bora umpe, hata mkeo hatopendezwa kuona mnamuuzia mama yake vitu naamini kabla mama yake hajakupigia alishaongea na mwanae.....kama una hitaji hela sana viuze tu then umuambie kuwa ulishaongea na mtu na ushachukua advance kwa hiyo hutoweza kurudisha hela sio ustaarabu....
 
Huyo mama hamaanishi umuuzie anahitaji umpe bure ila katumia lugha ambayo anajua wewe utajiongeza.
 
mkuu huyo anakuomba ki leo leo anataka umpe buree tu huyooo ko natumia njia ya umuuzie akati anajua huwezi muuzia
 
Sijui makabila mengine yakoje? Yaan kwetu mama mkwe na vitu vya mkwe wake ni maji na mafuta labda atumiwe zawadi.

Kwanza alianzaje kuongea na wewe kitu hicho na sio mwanae? Mmmh hii haiko sawa.

Mama mkwe inabidi akae kimya vitu watakavyomwachia basi. Kama ana hela si aende dukani? Hivyo vyombo ndo ameona vizuri zaid? Huyo anataka vya bure
 
Habari Wapendwa

Mimi na familia yangu tunahamia mkoa mwingine..Nilipoenda kutoa taarifa za hizi pilika pilika za kuhama kwa wakwe, Mama mkwe akaniuliza juu ya vitu vyangu vya ndani..Nikamwambia vingi nitaviuza...Nitaondoka tu na vitu vidogo vidogo..

Juzi kanipigia simu akaniambia anaomba nimuuzie baadhi ya vitu..Sikumpa jibu la moja kwa moja nikamyumbisha kidogo then nikamwambia ntakutafuta tuongee..Nimemshirikisha wife akaniambia tuviuze kwa mtu mwingine Kwa madai kuwa mama yake Ataleta longolongo tu na kujuana kwingi..

Wakuu embu niongezeeni busara juu ya hili,Nahisi zangu hazitoshi...Nifanyaje??
Kando ya hizo longolongo zake,Kumuuzia Mama mkwe hivi vitu ni sawa.???
Ningeweza kumpa bure sema hii pesa nahiitaji sana iweze kutubusti huko tunakoenda.. vile hali ya maisha ni tight kwa sasa
Yani Mkwe ndo umeamua kuja kunidhalilisha humu. Aliyekwambia sina hela ya kuvinunua hivyo vitu nani..
 
Msikilize mkeo!! Huyo mama mkwe anataka apewe tu hivyo vitu kijanja.
 
Habari Wapendwa

Mimi na familia yangu tunahamia mkoa mwingine..Nilipoenda kutoa taarifa za hizi pilika pilika za kuhama kwa wakwe, Mama mkwe akaniuliza juu ya vitu vyangu vya ndani..Nikamwambia vingi nitaviuza...Nitaondoka tu na vitu vidogo vidogo..

Juzi kanipigia simu akaniambia anaomba nimuuzie baadhi ya vitu..Sikumpa jibu la moja kwa moja nikamyumbisha kidogo then nikamwambia ntakutafuta tuongee..Nimemshirikisha wife akaniambia tuviuze kwa mtu mwingine Kwa madai kuwa mama yake Ataleta longolongo tu na kujuana kwingi..

Wakuu embu niongezeeni busara juu ya hili,Nahisi zangu hazitoshi...Nifanyaje??
Kando ya hizo longolongo zake,Kumuuzia Mama mkwe hivi vitu ni sawa.???
Ningeweza kumpa bure sema hii pesa nahiitaji sana iweze kutubusti huko tunakoenda.. vile hali ya maisha ni tight kwa sasa

TAFUTA BAADHI YA VITU UMPE BURE, VINGINE VYA GHARAMA MWAMBIE ULISHAMUAHIDI MTU. I AM SURE BAADHI YA VITU NI FAIR MKIMPA, UKIACHA VILE VYA GHARAMA SANA. MFANO: HUWEZI UZA MASUFURIA WAKATI MAMA MKWE YUPO HAPO?? NI KUMPA TU. ILA HUWEZI PIA MUUZIA HIVYO VITU, NA YEYE KUOMBA AUZIWE NI KUKOSA USTAARABU. ANATAKA MUMPE.
 
Ushauri wangu kwako Kaboom, mpe mama hivyo vitu. Maisha hayataishia hapo na utapata vingine.

Ndoa ni zaidi ya vitu.

Mkeo anakupima tu lakini angependa sana umpe mama yake hivyo vitu. Wala usimuuzie. Utapata thawabu.

Pamoja na kubana kwa maisha, ndani ya moyo wako assume unaanza upya.

Mungu na akubariki sana
Sasa nitamshauri nini ikiwa nilicho taka kuandika umeandika cha kusisitiza hivyo vitu mpe mkweo bure huwezi jua kesho
 
Mmmh mama mkwe tena akuuu mi sijui nichsngiii chochote
 
Kama ingekuwa mimi ningetumia busara tu namwachia mama mkwe anavyovihitaji namwambia na bei vingine nauza. Plan sometimes hubadilika .

Asiponipa pesa sawa
 
mi naamini huyo mke wako anakupima tuu.. fanya tu maamuzi ya kiume mpe tu baadhi mbona wajukuu watavitumia wakienda huko. halafa hivyo vitu hukuzaliwa navyo bhana Mwanaume gangamala ..Ila huyo mkwe mi nimempenda kwakwel et umuuzie hahahha
 
Habari Wapendwa

Mimi na familia yangu tunahamia mkoa mwingine..Nilipoenda kutoa taarifa za hizi pilika pilika za kuhama kwa wakwe, Mama mkwe akaniuliza juu ya vitu vyangu vya ndani..Nikamwambia vingi nitaviuza...Nitaondoka tu na vitu vidogo vidogo..

Juzi kanipigia simu akaniambia anaomba nimuuzie baadhi ya vitu..Sikumpa jibu la moja kwa moja nikamyumbisha kidogo then nikamwambia ntakutafuta tuongee..Nimemshirikisha wife akaniambia tuviuze kwa mtu mwingine Kwa madai kuwa mama yake Ataleta longolongo tu na kujuana kwingi..

Wakuu embu niongezeeni busara juu ya hili,Nahisi zangu hazitoshi...Nifanyaje??
Kando ya hizo longolongo zake,Kumuuzia Mama mkwe hivi vitu ni sawa.???
Ningeweza kumpa bure sema hii pesa nahiitaji sana iweze kutubusti huko tunakoenda.. vile hali ya maisha ni tight kwa sasa
Muuzie haraka sana ili kulinda heshima !na vingine mpe buure na kugusu kumdai wala usiogope mdai kama wao walivyokudai mahari ya bint yao
Hata akishindwa kukulipa urajilipa kwa kumpatia wajuu wengi na kila wakati wa likizo atawahudumia mkweo kwa kula kulala mpaka nauli ukiwa kauzu baada ya miaka mitatu utkuwa umesharudisha hela yako kiaina tena ukinuna na wewe nenda kamtembelee jioni likizo moja moja na fikia ukweni soo hotel upate menu heavy wiki nzima mpaka hela urudi uwe una note book kufuatilia ubukanyaji wako kwa mkwe kuhakikisha deni limelipwa indirect
 
Hapana usimuuzie ni bora umpe, hata mkeo hatopendezwa kuona mnamuuzia mama yake vitu naamini kabla mama yake hajakupigia alishaongea na mwanae.....kama una hitaji hela sana viuze tu then umuambie kuwa ulishaongea na mtu na ushachukua advance kwa hiyo hutoweza kurudisha hela sio ustaarabu....
Kama ukimuuzia at fair price sioni tatizo isitoshe katika business inatakiwa watu wa karibu wawe wa kwanza kutoa support kama mama mkwe wa kisasa atakuelewa huyo na atakupa mshiko wako tu as long as ajue lengo la kuuza kwako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom