Mama Magufuli, nini kimekusibu?

Mama Magufuli, nini kimekusibu?

.. au bado anafundishwa kiswahili (sanifu)?
 
Mnatazama kila kitu kisiasa
mimi nawajua wasukuma na nilichosema nishakisema mbele yao na hawapingi
wasukuma sio sawa na watu wa pwani
watu wa pwani ni makabila ambayo mama wana sauti
makabila ya wasukuma wanyamwezi na mengine ya bara
mimi mwenyewe mnyamwezi.....sio culture mwanamke kwenda mbele na wanaume
sio culture......hata kama kuna mabadiliko still culture zina nguvu....

Sasa nimeelewa, kumbe ndiyo maana hajawahi kutokea kiongozi mwanamke hapa nchini kutoka makabila hayo mawili.
 
Mungu gani huyo ana muda mchafu kama huo?afanye maombi kwanza kumuombea Mume wake aache michepuko.

Hao hao waovu ndio MUNGU huwaskia na kuwasamehe,wanajishusha.nyie wenye haki endeleeni kujikweza na wala huwezi kumpangia MUNGU binadamu wa kumsikiliza,sababu jua huwaka sawa kwetu wote,na usiku huja sawa kwa wote.
about michepuko,nikuulize ulishawahi kumfumania?au unaendeleza mambo ya kusikia?
Huyo Lowasa Hana michepuko?hata humu ishawahi jadiliwa.
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo sasa utoe kibanzi kwenye jicho la mwenzio.
Mwisho wanjiru rudi kwenu Kenya kwa wakikuyu,tuachie tz yetu.
 
Mi naona mama wa watu anaona mumewe akiwa rais atamuongezea stress,kama uwaziri tu michepuko ya hatari,
tena nahisi anaombea ukawa ishinde ili mumewe atulie
 
Hao hao waovu ndio MUNGU huwaskia na kuwasamehe,wanajishusha.nyie wenye haki endeleeni kujikweza na wala huwezi kumpangia MUNGU binadamu wa kumsikiliza,sababu jua huwaka sawa kwetu wote,na usiku huja sawa kwa wote.
about michepuko,nikuulize ulishawahi kumfumania?au unaendeleza mambo ya kusikia?
Huyo Lowasa Hana michepuko?hata humu ishawahi jadiliwa.
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo sasa utoe kibanzi kwenye jicho la mwenzio.Bb
Mwisho wanjiru rudi kwenu Kenya kwa wakikuyu,tuachie tz yetu.

Too much povu!

Ulivyoanza na ulivyomalizia sentensi ya mwisho hata haviendani!
 
Atakuwa ameshakata tamaa ya kuzunguka nchi nzima kupoteza muda wake bure.raisi anajulikana ni Lowasa
 
Too much povu!

Ulivyoanza na ulivyomalizia sentensi ya mwisho hata haviendani!

Huwezi kuelewa,sababu umekariri povu na kusoma ukaelewa vile vile hujui.kumbuka sio lazima kujibu hata usichoelewa na kisichokuhusu.
 
Hawa akina mama wako kimya kimya sana nimewapenda na mikakati yao. Watu watashtuka muda WASHAPIGWAA.
 
Attachments

  • 1441469427193.jpg
    1441469427193.jpg
    45.7 KB · Views: 377
Mnatazama kila kitu kisiasa
mimi nawajua wasukuma na nilichosema nishakisema mbele yao na hawapingi
wasukuma sio sawa na watu wa pwani
watu wa pwani ni makabila ambayo mama wana sauti
makabila ya wasukuma wanyamwezi na mengine ya bara
mimi mwenyewe mnyamwezi.....sio culture mwanamke kwenda mbele na wanaume
sio culture......hata kama kuna mabadiliko still culture zina nguvu....

Aiseeeeh! Mbona Margaret Sitta anagombea ubunge huko unyamwezini Urambo mkuu!?
 
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Pitia mabandiko ya wiki mbili zilizopita hapa JF, tulielezwa Mama Lowassa ni mama msomi ana Masters degree na ni Mwalimu by training and profession. Inawezekana kiwango chake cha elimu hakuna mwanamke kwenye uko wako aliyekifikia!!! Samahani kama nimekukwaza!!

Hujamkwaza,ulichomwambia ni sahihi kabisa.
 
"Mshauri wa Mkulu"? Hii Nyerere ameikemea sana ya Rais kupewa ushauri na mkewe katika mambo ya kitaifa!(sikiliza hotuba zake)
Mkuu kuna mambo ya kitaifa ya Rais lakini mshauri mkuu ni mkewe. Suala kama mavazi kwa Rais hata hilo ni la kitaifa kwani Rais hatakiwa kuvaa hovyohovyo mbele ya kadamnasi. Wife aka firstlady hapo ndio anapotimiza wajibu wake. Hebu fikiria huyu angekuwa ni Rais wetu halafu anatoka kuzungumza na viongozi wenzake wa nje akiwa hivi si tutamuwakia huyo mama?
ImageUploadedByJamiiForums1441478320.099097.jpg
 
Aiseeeeh! Mbona Margaret Sitta anagombea ubunge huko unyamwezini Urambo mkuu!?

Kugombea ubunge sio sawa na kurithi mashamba ya baba yake
unaweza kukuta mashamba ya baba yake kaka zake hawajampa hata kipande
akiolewa kanisani ni ndo ya mke mmoja but kimila hawezi ku complain mume akiongeza mke
masuala ya culture ni magumu..
 
Back
Top Bottom