Nyie c mmehaidiwa mahaba!? Huo ni ucameroon ulio tukuka na ss wa tz pigo hizo hatutaki! Bila aibu mtu mzima na akili zake ana nadi mahaba badala ya ishu za maana pelekeni upopobawa wenu huko
Shetani mkubwa wewe
Nyie c mmehaidiwa mahaba!? Huo ni ucameroon ulio tukuka na ss wa tz pigo hizo hatutaki! Bila aibu mtu mzima na akili zake ana nadi mahaba badala ya ishu za maana pelekeni upopobawa wenu huko
Raha sana kukuona tena Mama Mdogo! Ni kweli mke wa Lowassa ni msomi sana.Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Pitia mabandiko ya wiki mbili zilizopita hapa JF, tulielezwa Mama Lowassa ni mama msomi ana Masters degree na ni Mwalimu by training and profession. Inawezekana kiwango chake cha elimu hakuna mwanamke kwenye uko wako aliyekifikia!!! Samahani kama nimekukwaza!!
nimfanya kaz so anawajibikaa huyo asie na elimu gori kipa ndo azunguke
Kani umesikia mke wa Magufuli ni wa jikoni tu?
MAMA POMBE UKO WAPI?? tunamuona mama Lowassa tu we mwenzetu kulikoniii?? tunge penda kupata neno kutoka kwa mama wa mgombea jamani...
Wanajamvi naomba tujuzane kwa wenye taarifa haiwezekani mke wa mama Raisi matalajiwa tusipate neno kutoka kwake?
Wasukuma mwanamke ni jikoni tu na uani
nimfanya kaz so anawajibikaa huyo asie na elimu gori kipa ndo azunguke
Angalia kauli zako. Yule mama ni Mwalimu na anaendelea kufundisha
Na slaa ndio anachochea zaidiMaza magufuli kachukia sanaa bada ya kupata ushahidi usio na shaka kuwa magufuli kamhonga nyumba ya serikali kimada wake, na hivi sasa amani imetoweka katika familia yao...
mama magufuli hana ujivuni wa pesa kwamba aache kufundisha watoto na aache kazi eti kwa sababu mumewe anagombea ,magufuli hawezi kukubali kuandamana na mke aliyeajiriwa na serikali hiyo ni kuvunja sheria magufuli ni mtu wa kazi.angeambatana naye tena mnge uliza ni nani anamshikia vipindi vyako ,mara ooh je analipwa mshahara,ooo hivi inakuwaje mke wa mwanasiasa kujihusisha na siasa n.k wanadamu hamna jema ,jpm yuko makini sana na sheria.
tehe..tehe..tehe...!kumbeeeeee!Ndoa ya magufuli ina ufa, mapadlock Ana michepuko kibao so familia yake haipo sawa, yule mama Ana stress, Huyo magufuli alifunga ndoa nyingine kimila na mdada aitwa Sundi wa Gedeli nyakato, ilipelekea maadam kumsusa jpm, ameombwa sn amsaidie mumewe maadam bado hajawa sawa