The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,613
Kani umesikia mke wa Magufuli ni wa jikoni tu?
Tumia akili yako japo kidogo
nimesema 'wasukuma'
sijasema mke wa magufuli..simjui na wala sijui kama ni msukuma
Nazungumzia culture ya wasukuma.....Wanawake hawarithi wala kushiriki vikao vya maamuzi