Mama Magufuli, nini kimekusibu?

Mama Magufuli, nini kimekusibu?

Magufuli ni mzima na mwenye afya azunguke naye kwa ajili gani halafu huyu mama ana kazi sasa Edo ni mgonjwa lazima mkewe amuangalie halafu huyo mama hana kazi

Dah akili ndogo Sana wewe! Unadhani kuajiriwa ni sifa? Ndo maana vijana kupata maendeleo ni ngumu maana unategemea kuajiriwa tu tena mshahara wenyewe ovyo. Mke wa Edo anaweza asiwe na kazi unayoitambua wewe lakini Ana makampuni aliyoajiri watu wakiwemo na ndugu zako kama sio wewe sasa bado unataka aajiriwe? Elewa ukiwa umejiajiri Una muda mwingi wa kufanya mambo yako kuliko kuajiriwa so usishangae akizunguka na mumewe alafu ukadhani hana kazi kumbe pesa anayoingiza mpaka unakufa hutaipata.
 
Back
Top Bottom