Magufuli ni mzima na mwenye afya azunguke naye kwa ajili gani halafu huyu mama ana kazi sasa Edo ni mgonjwa lazima mkewe amuangalie halafu huyo mama hana kazi
nimfanya kaz so anawajibikaa huyo asie na elimu gori kipa ndo azunguke
nimfanya kaz so anawajibikaa huyo asie na elimu gori kipa ndo azunguke
Magufuli ni mzima na mwenye afya azunguke naye kwa ajili gani halafu huyu mama ana kazi sasa Edo ni mgonjwa lazima mkewe amuangalie halafu huyo mama hana kazi
nimfanya kaz so anawajibikaa huyo asie na elimu gori kipa ndo azunguke
I thnk anajitazamia!!
Hivi mumewe aitwa nani vile?
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Pitia mabandiko ya wiki mbili zilizopita hapa JF, tulielezwa Mama Lowassa ni mama msomi ana Masters degree na ni Mwalimu by training and profession. Inawezekana kiwango chake cha elimu hakuna mwanamke kwenye uko wako aliyekifikia!!! Samahani kama nimekukwaza!!
Mama Mdogo nimekupenda bure naomba uwe ndugu yangu wa hiari hadi uchaguzi uishe.Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Pitia mabandiko ya wiki mbili zilizopita hapa JF, tulielezwa Mama Lowassa ni mama msomi ana Masters degree na ni Mwalimu by training and profession. Inawezekana kiwango chake cha elimu hakuna mwanamke kwenye uko wako aliyekifikia!!! Samahani kama nimekukwaza!!
Maza magufuli kachukia sanaa bada ya kupata ushahidi usio na shaka kuwa magufuli kamhonga nyumba ya serikali kimada wake, na hivi sasa amani imetoweka katika familia yao...
Wasukuma mwanamke ni jikoni tu na uani
"Mshauri wa Mkulu"? Hii Nyerere ameikemea sana ya Rais kupewa ushauri na mkewe katika mambo ya kitaifa!(sikiliza hotuba zake)Hujamkwaza ila umemuelewesha.Kwa vile watu wanataka mabadiliko basi ni wazi hata mshauri wa mkulu sasa atakuwa Mwl mwenye shahada ya uzamili baada ya kuondoka Mwl wa UPE
Nampenda mama magufuli,ameokoka na mtu wa kujishusha,naamini Yuko kwenye maombi mazito na kuandaliwa kuwa first lady wetu,MUNGU amsaidie.
Sasa itakuwaje na Samia Suluhu
Msemaji wa chama cha mashetani katika ubora wake