Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 36,348
- 23,757
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika Rais Samia Ni Mkono Wa Mungu Uliopo Hapa Duniani, Mungu Anatenda Miujiza Yake Kupitia Rais Samia ,Rais Samia Ni chaguo la Mungu kuwafikia Watu na waja Wake. Kama Unasikiaga Mungu anatenda Miujiza Kupitia Watu basi Mtu Mwenyewe ni Rais Samia Aliyeinuliwa na kupata kibali cha Mungu Mwenyewe.
Sijapata kuona wala kushuhudia Mama Na Kiongozi Mwenye Upendo kama Rais Samia. Haijapata kutokea ndugu zangu. Rais Samia ana moyo wa huruma na ukarimu haijapata kutokea . Rais Samia ni Mtume wa Mungu aliyetumwa na kuletwa hapa Duniani kupitia Mama yake mzazi kwa ajili ya kuleta tabasamu,furaha , matumaini na nuru kwa maisha ya watu.
Rais Wetu Mpendwa hii leo amefanya kitendo cha aina yake. Kitendo kilichogusa hisia za mamilioni kwa mamilioni ya watanzania,kitendo ambacho ni Thawabu mbele za Mwenyezi Mungu.
Ni baada ya Kumnunulia na kumkabidhi Gari Mpyaaa Mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba Nguli Na Mwamba kwelikweli wa Bongo Movie hapa nchini yaani waweza kusema Legend ama Shujaa na Alama ya Bongo Movie aliyeipatia Nchi yetu heshima kubwa sana katika tasnia hiyo.
Mama Kanumba ambaye alikuwa akihangaika kutembea umbali mrefu kwenda kanisani leo amekutana na Mkono Wa upendo wa Rais wetu kipenzi Mama Samia na kukabidhiwa Gari aina ya Harrier Kupitia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Mheshimiwa Albert Chalamila.
Mama huyo amejikuta akilengwa lengwa na machozi ya furaha na kushindwa hata kuzungumza baada ya kuelemewa na furaha na kushindwa kuamini kwa kila kilichotokea kwa kuwa alikuwa hajatarajia kabisa.
Mama Kanumba ameishia kumimina shukurani kwa Rais wetu Mpendwa pamoja na kumuombea kila la heri na Maisha marefu Mama yetu Mpendwa.
Kwa hakika Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe. Huwezi kushindana na aliyebarikiwa na Mungu. Rais Samia ni chaguo la Mungu na Mtume wa Mungu. Ni mtumishi wa wanyonge na watu wote.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.