Mama Janeth Magufuli, shikamoo!

Mama Janeth Magufuli, shikamoo!

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
886
Reaction score
664
Mama Janeth; unawapenda wazee na wasiojiweza hongera sana, humo kuna siri kubwa ya baraka na mafanikio, Baba ana kazi nyingi za kulikwamua Taifa anaweza asiyakumbuke yote. anao mawaziri wanaomsaidia lakini nao hawawezi kuyakumbuka yote. anapokuwa amepumzika mkumbushe hili

wazee ambao tumetumika kujenga Taifa hili tena wakati ule wa hali ngumu tulikuwa wazalendo hatukuhujumu wala kuiba, hatukuweka akiba na Mungu ametupa kibali bado tunaishi.

Tumestaafu kwa mujibu, lakini wengi wetu tulimaliza utumishi kwa kiwango kidogo cha mshahara na pensheni tunayolipwa ni ndogo sana, mfano laki moja kwa mwezi haitoshi maisha yamebadilika sana.
 
hivi kashindwa kabsa kuanzisha WAMA yake huyu mama?

Angekaa na salima mwalimu mwenzake ampe maujanja

1566295429316.jpeg
 
Back
Top Bottom