Mama Janeth Magufuli, shikamoo!

Mama Janeth Magufuli, shikamoo!

She is very bright
Na anezaliwa na kukulia mjini Dar es salama na wala hajionyeshi km mtoto wa mjini

Ingekuwa dunganyembe lingine limeolewa na jpm na limekulia hapa mjini
Tungeona kila rangi ikulu
Huyu mama ni mfano wa kuigwa
Na Imani kna mambo makubwa anafanya pmja na kusaidia
Syo wale wa WAMA, TEFSS NN cjui

Ova
 
She is very bright
Na anezaliwa na kukulia mjini Dar es salama na wala hajionyeshi km mtoto wa mjini

Ingekuwa dunganyembe lingine limeolewa na jpm na limekulia hapa mjini
Tungeona kila rangi ikulu

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😋😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hivi kwan ni kabila gan huyu mama?amezubaa..hachangamkii fursa...! mie ningekuwa first lady muda huu ningekuwa na Kampuni inayoeleweka Dubei huko!
Mngemtoa nyongo. Hayo matusi angeyavulia kweli? Siti Mwinyi aliambiwa kachukua pesa kajenga hoteli. Masikini ya Mungu ajachukua chochote ikulu. Salma na SHULE zake, kelele mpaka lao
 
Tumestaafu kwa mujibu, lakini wengi wetu tulimaliza utumishi kwa kiwango kidogo cha mshahara na pensheni tunayolipwa ni ndogo sana, mfano laki moja kwa mwezi haitoshi maisha yamebadilika sana.
Mwambieni mumewe, mnamuogopa? Ila nawahakikishieni. Mkitaka Janet awaombee kwa Magufuli hamtafanikiwa kamwe, huo ndio ukweli. Changanyeni akili zenu za kustaafu na za kuambiwa.
 
Hivi kwan ni kabila gan huyu mama?amezubaa..hachangamkii fursa...! mie ningekuwa first lady muda huu ningekuwa na Kampuni inayoeleweka Dubei huko!
Wacha we ! Bavicha utawajua tu ! Hatutaki first Lady mwizimwizi.
 
hivi kashindwa kabsa kuanzisha WAMA yake huyu mama?

Angekaa na salima mwalimu mwenzake ampe maujanja
Eti kashindwa kabisa kuanzisha WAMA yake,hopeless,mlivyopiga zile mlitegemea na huyu mtapiga?
 
Hivi kwan ni kabila gan huyu mama?amezubaa..hachangamkii fursa...! mie ningekuwa first lady muda huu ningekuwa na Kampuni inayoeleweka Dubei huko!
Kwa haya maoni haki Magufuli aonekane kichomi kwenu
 
Back
Top Bottom