Mama Janeth Magufuli, shikamoo!

Mama Janeth Magufuli, shikamoo!

Nahisi kama vile nyoka anashawishiwa ili amshawishi mwanamke aende akamshawishi mumewe ale tunda la mti wa kati.
 
Mama Janeth; unawapenda wazee na wasiojiweza hongera sana, humo kuna siri kubwa ya baraka na mafanikio, Baba ana kazi nyingi za kulikwamua Taifa anaweza asiyakumbuke yote. anao mawaziri wanaomsaidia lakini nao hawawezi kuyakumbuka yote. anapokuwa amepumzika mkumbushe hili

wazee ambao tumetumika kujenga Taifa hili tena wakati ule wa hali ngumu tulikuwa wazalendo hatukuhujumu wala kuiba, hatukuweka akiba na Mungu ametupa kibali bado tunaishi.

Tumestaafu kwa mujibu, lakini wengi wetu tulimaliza utumishi kwa kiwango kidogo cha mshahara na pensheni tunayolipwa ni ndogo sana, mfano mlaki moja kwa mwezi haitoshi maisha yamebadilika sana.
Tulistaafu kwa Mujib wa sheria lakini Serkali haitambui Kabisa sheria I hasa Kama zinahusu maslahi ya wanyonge mpaka watu tunajiuliza ni wanyonge gani inadai inawajali? Mwenzetu unalipwa laki lakini tupo wengi ikiwa ni pamoja na Jumuiya hatikulipwa hata senti
 
Hivi kwan ni kabila gan huyu mama?amezubaa..hachangamkii fursa...! mie ningekuwa first lady muda huu ningekuwa na Kampuni inayoeleweka Dubei huko!
siyo kwa huyu mzee. Alisha wahi kusema hata kama nimke wake sukukuma ndani
 
Mama tayari kajenga Uwanja wa kisasa wa mpira Wilayani Misungwi. Mama hajazubaa anafanya mambo bila kelele. Mambo yake Mengi anayapitishia kwa RC Mnyeti kimyakimy. Mama yupo sawa tu.
 
Back
Top Bottom