jiwemton
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 317
- 505
Hela ataitoa wap wakati baba kapeleka zote kwaohivi kashindwa kabsa kuanzisha WAMA yake huyu mama?
Angekaa na salima mwalimu mwenzake ampe maujanja
Hela ataitoa wap wakati baba kapeleka zote kwaohivi kashindwa kabsa kuanzisha WAMA yake huyu mama?
Angekaa na salima mwalimu mwenzake ampe maujanja
Hivi kwan ni kabila gan huyu mama?amezubaa..hachangamkii fursa...! mie ningekuwa first lady muda huu ningekuwa na Kampuni inayoeleweka Dubei huko!

Analipwa mshaara kubwa sana ma marupurupu kibao , kuiba ni asili ya mtu tuanakwama sana aisee yaan anataka atoke kama alivyoingia?
Ajifunze kwa kina Salima, Anna, Hillary Clinton, Dlamini zuma, Laura Bush na Michelle Obama
Huyo mama katumika tu jina lake kumvuta muhusika aje asome na kuwasikiliza ombi lao wastaafu.Mwambieni mumewe, mnamuogopa? Ila nawahakikishieni. Mkitaka Janet awaombee kwa Magufuli hamtafanikiwa kamwe, huo ndio ukweli. Changanyeni akili zenu za kustaafu na za kuambiwa.
Hebu mwambieni alipe hela za wastaafu.Mama Janeth; unawapenda wazee na wasiojiweza hongera sana, humo kuna siri kubwa ya baraka na mafanikio, Baba ana kazi nyingi za kulikwamua Taifa anaweza asiyakumbuke yote. anao mawaziri wanaomsaidia lakini nao hawawezi kuyakumbuka yote. anapokuwa amepumzika mkumbushe hili
wazee ambao tumetumika kujenga Taifa hili tena wakati ule wa hali ngumu tulikuwa wazalendo hatukuhujumu wala kuiba, hatukuweka akiba na Mungu ametupa kibali bado tunaishi.
Tumestaafu kwa mujibu, lakini wengi wetu tulimaliza utumishi kwa kiwango kidogo cha mshahara na pensheni tunayolipwa ni ndogo sana, mfano laki moja kwa mwezi haitoshi maisha yamebadilika sana.
kwa uvumilivu.Kwa lipi?
Kwa hivi unavyoandika, baada ya mumeo kuwa rais angeachana na wewe. Uelewa mdogo!!Hivi kwan ni kabila gan huyu mama?amezubaa..hachangamkii fursa...! mie ningekuwa first lady muda huu ningekuwa na Kampuni inayoeleweka Dubei huko!
Kwa hivi unavyoandika, baada ya mumeo kuwa rais angeachana na wewe. Uelewa mdogo!!
Hahahaa....naamini aisee! saluteHivi unamjua jiwe?
Huyu mama huenda bado anakula mlenda kwa kigezo cha kubana matumizi.
Achangamke kwa furaha gani?
Karoho kakifisadi kamebana ndani yako mkuu.Hivi kwan ni kabila gan huyu mama?amezubaa..hachangamkii fursa...! mie ningekuwa first lady muda huu ningekuwa na Kampuni inayoeleweka Dubei huko!
Akikupa kichwa chake kwa yanayomkuta wewe utakunywa sumu
DuhhhhHuyu mama ana siri nyingi moyoni mwake, kushare mume na mdogo wako sio kitu kirahisi
Mama yetu ni mcha Mungu, sio mtu wa anasa na tamaa za kishetani.
Upole wake, unyenyekevu, uvumilivu vimemnyanyua na kumpatia heshima na hadhi kuliko hata akimiliki hazina yote ya nchi.
Hongera sana mama yetu, wewe ni mfano halisi kwa wote wanaopaswa kua wake wema.
Maendereo hayana chama.
manengelo jana nmeota mduara umetema, ukanipa oder ya kukuangizia Rangerover from UK.
Mama Janeth; unawapenda wazee na wasiojiweza hongera sana, humo kuna siri kubwa ya baraka na mafanikio, Baba ana kazi nyingi za kulikwamua Taifa anaweza asiyakumbuke yote. anao mawaziri wanaomsaidia lakini nao hawawezi kuyakumbuka yote. anapokuwa amepumzika mkumbushe hili
wazee ambao tumetumika kujenga Taifa hili tena wakati ule wa hali ngumu tulikuwa wazalendo hatukuhujumu wala kuiba, hatukuweka akiba na Mungu ametupa kibali bado tunaishi.
Tumestaafu kwa mujibu, lakini wengi wetu tulimaliza utumishi kwa kiwango kidogo cha mshahara na pensheni tunayolipwa ni ndogo sana, mfano laki moja kwa mwezi haitoshi maisha yamebadilika sana.
Karoho kakifisadi kamebana ndani yako mkuu.
Sikiliza, wewe kuwa mpole haimaanishi ukikutana na simba atakuhurumia.
Hii ni kanuni muhimu katika ulimwengu huu wa ubepari.
Kama wewe hupigi dili usidhani kwa kutokupiga kwako dili ndo utahurumiwa.
Tembea kifua mbere
Mmh, kuna watu wana akili!Huyo mama katumika tu jina lake kumvuta muhusika aje asome na kuwasikiliza ombi lao wastaafu.
Mbova ujumbe umeshafika. Ukubwa dawa wastaafu noma, mikono juu kwa mbinu hii.
Huyu mama ni mfano wa kuigwa
Na Imani kna mambo makubwa anafanya pmja na kusaidia
Syo wale wa WAMA, TEFSS NN cjui
Ova
Mkuu fursa ni fursa,na ufisadi ni ufisadi havichangamani kama maji na mafuta.Kwanini Manji tu na si Bakhresa au Dewji au Marehemu Mengi, na hata si Rostam. Fursa za kifisadi ndio huishia kama Manji.ndo shida yetu watz...huwa najuta kuwa mtz...mtu unawaza kuzitumia fursa vyema maskini wa akili mnawaza ajab ajabu..nyie ndo mkiona tajiri amefilisika roho zenu zinafarijika..mfano Manji..mlifurahi na roho zenu...lol...!